Mkuu asante kwa comment nzuri,lakini sijaelewa kwanini huu uzi haujataja wall putty kabisa. Mpaka nipo Dillema nini nitumie kati ya wall putty na white cement.Fungus husababishwa na unyevu,udhibiti wa unyevu huanzia kwenye msingi WEKA KARATASI kuzunguka msingi (Dump Proof Course-DPM) & Dump Proof Membrane DPM eneo lote la Hardcore)
Kwenye eneo ambalo hupokea unyevu sana (jikoni/washroom) tumia tiles.
Maeneo mengine tumia White Cement+emulsion paint kuskim then apply rangi ya slik ndani/weather guard nje .
Sehemu iliyoathiriwa sana na fungus ,kwangua plasta kidogo ,piga plasta mpya Kwa kutumia cement na water proof kidogo kisha skim kwa white cement ,baada ya kuskim piga msasa vizuri ,kisha apply emulsion paint kukata vumbi la msasa then paka rangi Yako .
Ushauri wangu...Mkuu asante kwa comment nzuri,lakini sijaelewa kwanini huu uzi haujataja wall putty kabisa. Mpaka nipo Dillema nini nitumie kati ya wall putty na white cement.
Hivi andika ni wall puty au gypsum powder? kwanin nauliza hivi ni kwamba kuna fund aliniambia skimming ya bod na ukuta nitumie andika anachanganya na rangi nyeupe emulsion,huwa inakua haivimbi tofauy na hizi wall put huwa haizifai kwenye ukuta zinababuka....naomba uelewa na ujuzi wako mkuu.Ushauri wangu...
Nje tumia white cement, then rangi tumia weather guard. Ndani tumia wall putty, then rangi piga silk. Kwenye ceiling ukipiga white nyumba hupendeza sana na huwa Ina mwanga wa kutosha.
Andika ni gypsum power. Sana sana inatumiwa kupandika mikanda, kuskim board(Dari na Kuta za partitions za gypsum board) na zamani ilitumika sana kuskim Kuta za tofali pia(ndani) japo kwa miaka ya karibuni teknolojia imebadilika sana. Badala ya kutumia gypsum powder inayochanganywa na rangi, Bora utumie wall putty inayochanganywa na maji pekee bila rangi. Utaokoa gharama ya rangi.Hivi andika ni wall puty au gypsum powder? kwanin nauliza hivi ni kwamba kuna fund aliniambia skimming ya bod na ukuta nitumie andika anachanganya na rangi nyeupe emulsion,huwa inakua haivimbi tofauy na hizi wall put huwa haizifai kwenye ukuta zinababuka....naomba uelewa na ujuzi wako mkuu.
Fundi yupo sahihi, itavimba hasa tofari 4 za Chini, pia kama resho ya Plaster haikua vizuri....!Ndio hapo mvutano ulipokuja kati yangu na fundi. Fundi yeye anasema white cement inakuja kuvimba baadae, ndio anashauri cement ya kawaida. Hapo ndio natatizika
Iyo Rangi ya maji kuosha ni kampuni gani nzuri...?Mkuu tumia White cement ni waterproof yani hainyoni maji maji na unyevu unvyevunyevu, ukuitumia cement tupu itakuingizia unyevunyevu hapo badae inaeza kuganduka na kuweka fangasi.
White cement na ukapaka rangi ile ya kusafisha na maji ni bora zaidi ukuta ukichafuka unaweza kuusafisha na tambala la sabuni maisha rahisi kiasi kbs.
Subiri Wataalamu zaidi waje
wall puty si ndio wanasema inavimba?Andika ni gypsum power. Sana sana inatumiwa kupandika mikanda, kuskim board(Dari na Kuta za partitions za gypsum board) na zamani ilitumika sana kuskim Kuta za tofali pia(ndani) japo kwa miaka ya karibuni teknolojia imebadilika sana. Badala ya kutumia gypsum powder inayochanganywa na rangi, Bora utumie wall putty inayochanganywa na maji pekee bila rangi. Utaokoa gharama ya rangi.
Wall put ni technology ya kisasa. Hii inaweza kutumika kuta za ndani na nje na haina tabia ya kuvimba. Ina ubora unaofa nana na white cement lakini ni bora kuliko gpsum powder.Mkuu asante kwa comment nzuri,lakini sijaelewa kwanini huu uzi haujataja wall putty kabisa. Mpaka nipo Dillema nini nitumie kati ya wall putty na white cement.
Asante mkuu kwa ushauri mzuri.Wall put ni technology ya kisasa. Hii inaweza kutumika kuta za ndani na nje na haina tabia ya kuvimba. Ina ubora unaofa nana na white cement lakini ni bora kuliko gpsum powder.
Faida ya wallput juu ya white cement ni kwamba huitaji kuchanganya na emulsion(rangi ya maji) buli utachanganya na maji ya kawaida na itakupatia matokeo maziri. Japo hizi wallput zinatofautiana ubora kutoka kampuni Moja na kampuni nyingine.
Nashauri finishing ya wallput badala y white cement