White cement ni multipurpose mkuu lakin inauwezo wa kutumika ndan na nje japo yenyewe ni special kwa matumiz ya nje lakin gysum powder inatumika ndan tu pia white cement ukiitumia ndan ni ukuta tu lakin kwenye board unatumia gypsum powder white cement ni nzur zaid nje na ndan maana inakaa vizur kuliko gypsum powder Ila unashauriwa kutototumia gypsum powder kwenye plasta iliyorough Sana maana mifuko itaenda ming Sana hapo tiba ni white cement hyo gypsum powder haitumik nje kwasababu inaathiriwa na unyevunyevuWhite Cement hutumika nje
Gypsam powder Ndani ya nyumba
Ova
Ukuta kuvimba mara nyingi husababishwa na kama ardhi inamaji mengi .ukuta umevimba baada ya muda gani mkuu.unadhani sababu itakuwa imeletwa na nini
Fungus! kwangua skim na white cement paka rangi ya wheather guard.Hapo ninaomba ufafanuzi maana mi Nina tatizo nyumba yangu imepata fungus kwenye ukuta kwa ndani nusu ukuta na nje nayo rangi na cement inamomonyoka, sijui tatizo Ni Nini?
Usikubali! Nje changanya white cement na rangi nyeupe kwenye skim then paka rangi ya wheather guardni kweli ndani kasema gypsum powder kama kawaida ila nje ndio anasema cement ya kawaida pamoja na rangi nyeupe na waterproof.
White cement ni multipurpose mkuu unaweza kuitumia kuskim nje au ndan japo imetengenezwa kwa ajil ya matumiz ya nje maana ni water proof ,lakin gysum powder inatumika ndan tu Ila Kama plaster ya ndan ni rough Sana maana yake mifuko ya gysum powder itaenda ming Sana unaweza kutumia white cement kusave cost Lakin pia white cement inanyoosha vizur Sana ukuta na iko imara Mimi ni fund hilo suala la fangas naweza kukushaur cha kufanya wasup or call 0757735884
Shikrani
Shikrani
Washn'wearMkuu wewe unaujuz hizo rangi zinaitwa washware kwa maana unauwezo wa kuzisafika zikichafuka
Rangi Za Kusafisha Na Maji Ni Kama Zipi Hizo??Mkuu tumia White cement ni waterproof yani hainyoni maji maji na unyevu unvyevunyevu, ukuitumia cement tupu itakuingizia unyevunyevu hapo badae inaeza kuganduka na kuweka fangasi.
White cement na ukapaka rangi ile ya kusafisha na maji ni bora zaidi ukuta ukichafuka unaweza kuusafisha na tambala la sabuni maisha rahisi kiasi kbs.
Subiri Wataalamu zaidi waje
Weather guardRangi Za Kusafisha Na Maji Ni Kama Zipi Hizo??
Comment imeshiba hiiFungus husababishwa na unyevu,udhibiti wa unyevu huanzia kwenye msingi WEKA KARATASI kuzunguka msingi (Dump Proof Course-DPM) & Dump Proof Membrane DPM eneo lote la Hardcore)
Kwenye eneo ambalo hupokea unyevu sana (jikoni/washroom) tumia tiles.
Maeneo mengine tumia White Cement+emulsion paint kuskim then apply rangi ya slik ndani/weather guard nje .
Sehemu iliyoathiriwa sana na fungus ,kwangua plasta kidogo ,piga plasta mpya Kwa kutumia cement na water proof kidogo kisha skim kwa white cement ,baada ya kuskim piga msasa vizuri ,kisha apply emulsion paint kukata vumbi la msasa then paka rangi Yako .