white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,883
Huyo sio fundi bali ni kishoka!! Cement ya kawaida inatumika kupiga plasta tu, baada ya hapo kwenye skimming, kwa nje inatumika white cement pamoja na rangi nyeupe ya maji, kwa ndani unatumia gypsum powder inachanganywa na rangi ya maji!! Ukikosea ukatumia gypsum kwa nje ikapigwa maji utajutaaa!!!ndio hapo mvutano ulipokuja kati yangu na fundi. fundi yeye anasema white cement inakuja kuvimba baadae, ndio anashauri cement ya kawaida. hapo ndo natatizika
ni kweli ndani kasema gypsum powder kama kawaida ila nje ndio anasema cement ya kawaida pamoja na rangi nyeupe na waterproof.Huyo sio fundi bali ni kishoka!! Cement ya kawaida inatumika kupiga plasta tu, baada ya hapo kwenye skimming, kwa nje inatumika white cement pamoja na rangi nyeupe ya maji, kwa ndani unatumia gypsum powder inachanganywa na rangi ya maji!! Ukikosea ukatumia gypsum kwa nje ikapigwa maji utajutaaa!!!
Fundi yupo sahihi kutegemeana na mazingira. Mimi ukuta umevimba japo white cement ndio ilitumika. Leo hii ndio nimeanza kuukwangua ili ipigwe plasta upya.ni kweli ndani kasema gypsum powder kama kawaida ila nje ndio anasema cement ya kawaida pamoja na rangi nyeupe na waterproof.
Itakua haukutofautisha rangi mbili nimesahau kitaalamu inaitwaje ila kimsingi ulitakiwa kupaka rangi nyeusi kwa chini kama mstari wa plimsoll line wa kwenye meli halafu unakuja kupaka rangi yako au vyovyote itakavyoanza utaratibu ndo huiHapo ninaomba ufafanuzi maana mi Nina tatizo nyumba yangu imepata fungus kwenye ukuta kwa ndani nusu ukuta na nje nayo rangi na cement inamomonyoka, sijui tatizo Ni Nini?
unazungumzia rangi nyeusi ya scarting (butemen)?Itakua haukutofautisha rangi mbili nimesahau kitaalamu inaitwaje ila kimsingi ulitakiwa kupaka rangi nyeusi kwa chini kama mstari wa plimsoll line wa kwenye meli halafu unakuja kupaka rangi yako au vyovyote itakavyoanza utaratibu ndo hui
ukuta umevimba baada ya muda gani mkuu.unadhani sababu itakuwa imeletwa na niniFundi yupo sahihi kutegemeana na mazingira. Mimi ukuta umevimba japo white cement ndio ilitumika. Leo hii ndio nimeanza kuukwangua ili ipigwe plasta upya.
Kama eneo ulipojenga kuna watu wanalalamika kuhusu fangus basi msikilize fundi
View attachment 1500418
Eeeh hio hio mkuu jina lilinitokaunazungumzia rangi nyeusi ya scarting (butemen)?
Inasemekana mchanga wa huku kwetu (Green city) una magadi, hata ufanyaje miezi sita mingi. Nataka nijaribishe saruji badala ya white cement. Wenye uwezo wao wanapiga marumaru ukuta wa nje japo sijui kama inasaidiaukuta umevimba baada ya muda gani mkuu.unadhani sababu itakuwa imeletwa na nini
magadi ni shida sana asee. huenda saruji ikakupa matokeo tofautiInasemekana mchanga wa huku kwetu (Green city) una magadi, hata ufanyaje miezi sita mingi. Nataka nijaribishe saruji badala ya white cement. Wenye uwezo wao wanapiga marumaru ukuta wa nje japo sijui kama inasaidia
Mkuu huku kwetu tumefanya kila mbwembwe lakini tumesanda.Eeeh hio hio mkuu jina lilinitoka
Hiyo shughuli nimeianza leo, sijui hatma yake. Fundi kanishauri saruji itumike nje na white cement ndani maana gypsum imekuwa ikivimba kwa muda mfupi sana.magadi ni shida sana asee. huenda saruji ikakupa matokeo tofauti
ni kweli ndani kasema gypsum powder kama kawaida ila nje ndio anasema cement ya kawaida pamoja na rangi nyeupe na waterproof.
Hapa kauliza ubora wa matumizi ya skimming kati ya cement/white cement. Hapo Gypsum powder inakujaje?White Cement hutumika nje
Gypsam powder Ndani ya nyumba
Ova
White cement ni multipurpose mkuu unaweza kuitumia kuskim nje au ndan japo imetengenezwa kwa ajil ya matumiz ya nje maana ni water proof ,lakin gysum powder inatumika ndan tu Ila Kama plaster ya ndan ni rough Sana maana yake mifuko ya gysum powder itaenda ming Sana unaweza kutumia white cement kusave cost Lakin pia white cement inanyoosha vizur Sana ukuta na iko imara Mimi ni fund hilo suala la fangas naweza kukushaur cha kufanya wasup or call 0757735884Hapo ninaomba ufafanuzi maana mi Nina tatizo nyumba yangu imepata fungus kwenye ukuta kwa ndani nusu ukuta na nje nayo rangi na cement inamomonyoka, sijui tatizo Ni Nini?
mkuu hofu yangu ni kama yako hapo kwenye rangi kushika kwenye Nill, nina wasiwasi itakuja kujitenga na ukuta tu
Inawezekana umejenga sehemu yenye chemichemi chiini?Hapo ninaomba ufafanuzi maana mi Nina tatizo nyumba yangu imepata fungus kwenye ukuta kwa ndani nusu ukuta na nje nayo rangi na cement inamomonyoka, sijui tatizo Ni Nini?