Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,312
demographical factors za constraits may be superior to kenya and tanzania, but inawezekana ukaribu wao na SA ndio factor kubwa.
halafu ina maana huyu waziri tayari anajua matokeo ya kesi ya uhuru na ametoa statement inayomlenga uhuru. get this: tatizo ni kuwa he is aiding to popularize the icc speculation na sio the rule of law. ikiwa anaelewa sheria ingembidi kufunga mdomo mpaka bensouda atakpokamilisha a full hearing. the truth of the matter kama walivyo wapumbavu viongozi wengi afrika na kusahau kufanya someone else bidding.
ninachojua ni iCC imepigwa bao na huenda kusiwa na kesi
kama anaelewa maana ya rule-of-law, asingetoa kauli kabla ya ICC kufanya a full prosecution.
....ina maana ICC agenda inakuwa rehearsed na mataifa mengi afrika ndio izidi kumanufucture ushaidi potovu. kwa ufupi ni afrika sasa ukweli utatambulika ni mataifa gani yanjitawala na yapi yanaongozwa na vibaraka.
ina any case madini ya botswana imewekwa kwenye hazina ya wakoloni,..
Na Lesotho utaiweka wapi?
bodi ya utalii kenya yawaomba nchi za magaribi kuwatowa wasi wasi wananchi wao kuhusu kutembelea kenya.ALAFU WEWE UNAKUJA KUJIGAMBA HUMU JF ETI MNAWEZA KUJIENDESHA WENYEWE.KWA UCHUMI GANI MLIONAO.UCHUMI WENU UNATEGEMEA UTALII NA MAZAO YA KILIMO,HAYA HAYO MAUA UTAYAUZA OTHAYA,CHAI UTAZITAFUNA? POOR POLITICAL GOON.
Botswana is the only country in sub Saharan countries that I always admire, cherish and regard it as my role model in the issues of democracy and good governance! It is the only country which assured the world that if Al Bashir visited their country he would have been hand cuffed and handed over to ICC!! They have no nonsense attitude when it comes to issues of integrity, democracy and good governance. I believe that's why they are far better economically as opposed to the East African Bloc whereby politicians do not care about core values and human dignity which are positively upheld in Botswana! God Bless Botswana since they are serious and they know what they are doing!!Botswana has said Kenya President-elect Uhuru Kenyatta is not welcome in the country if he refuses to cooperate with the International Criminal Court (ICC).
The ICC has charged Mr Kenyatta with crimes against humanity for bearing the greatest responsibility for the post election violence in which 1,133 people died and 650,000 were displaced. He is due to stand trial on July 9.
"If he refuses to go (to The Hague), then we have a problem. That means that they do not know the rule of law. You can't establish a court and refuse to go when it calls you. If he refuses, he won't set foot here," Botswana's Foreign Affairs Minister Phandu Skelemani told Mmegi, a Botswana daily.
Mr Skeleman said he expected Mr Kenyatta and deputy president- elect William Ruto, who is also facing similar charges, will cooperate with the ICC.
Source: Daily Nation
Hivi wakenya wakirudishwa Enzi za utawala wa KANU watalalamika?Hawa ni wamojawapo wa watu walioweka matumaini mengi sana kwa Raila Odinga, wakasahau kwamba Wakenya wana maamuzi yao binafsi yasiyojali kesi inayomkabili Uhuru huko ICC. Siku zote ni vema serikali zote zijifunze kuwa neutral linapokuja suala la uchaguzi. Huku kushadadia mtu fulani halafu anakuja kuchemsha unaweza kujikuta unaiabika kama hili lilowapata Wabotswana.
Naona kama vile wamesharudishwa. Maana Uhuru Kenyata anatoka chama cha KANU, ambacho kimeungana na vyama vingine kuunda hicho chama cha Jubilee. Sema hadi leo hii sijaona kikubwa alichokifanya Uhuru hadi kustahii tunu kubwa kiasi hiki kutoka kwa Wakenya.Hivi wakenya wakirudishwa Enzi za utawala wa KANU watalalamika?
Naona kama vile wamesharudishwa. Maana Uhuru Kenyata anatoka chama cha KANU, ambacho kimeungana na vyama vingine kuunda hicho chama cha Jubilee. Sema hadi leo hii sijaona kikubwa alichokifanya Uhuru hadi kustahii tunu kubwa kiasi hiki kutoka kwa Wakenya.
Aaah, kweli bwana. Thanks kwa clarification hiyo. Nilishachanganya mambo hapa. Nimesoma pia hapa: Standard Digital News - Kenya : Jubilee Coalition parties wrangles take new twist, na kukuta kweli KANU haimo katika muungano wa JUBILEE.KANU haiko kwenye Jubilee. Uhuru alitoka KANU.