Mekatilili
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 1,613
- 1,383
Kama asili yake ni mtu wa Zanzibar, East africa ndo inakuwaje?Huyu Phandu Skelemani, kila nikimuangalia (wajihi wake) naona ni kama mtu wa East Africa, hasa Zanzibar na hata hilo jina lake linasound kama Pandu Selemani? kuna mtu anamfahamu vizuri huyu bwana atupe mwanga kidogo
Mamwinyi aka watu wa halua hawafanani hata kidogo na watu wenye upeo na uwerevu namna hiyo amka mzee huyu si Uamsho? hajakaakaa kiuamsho!Huyu Phandu Skelemani, kila nikimuangalia (wajihi wake) naona ni kama mtu wa East Africa, hasa Zanzibar na hata hilo jina lake linasound kama Pandu Selemani? kuna mtu anamfahamu vizuri huyu bwana atupe mwanga kidogo
serikali ya botswana wamejizoesha ile tunasema bootliking kwa mzungu. tatizo ni serikali ikijiweka katika hali hii, hata kupiga hatua kimaendeleo kwa wananchi hua changamoto maana rasilimali zimewekezewa kama zawadi kwa mkoloni. ndio utakuta hata taifa inakuwa taifa ya walalamikao. hii isiwe kama ambavyo CDM wanavoendesha shuchuli zao za mauzauza. botswana wana madini na huenda wameyawekea shughuli hio
Huyu Phandu Skelemani, kila nikimuangalia (wajihi wake) naona ni kama mtu wa East Africa, hasa Zanzibar na hata hilo jina lake linasound kama Pandu Selemani? kuna mtu anamfahamu vizuri huyu bwana atupe mwanga kidogo
Mamwinyi aka watu wa halua hawafanani hata kidogo na watu wenye upeo na uwerevu namna hiyo amka mzee huyu si Uamsho? hajakaakaa kiuamsho!
The minister is overeager.
A basic rule of diplomacy is to not engage in hypotheticals and speculations.
Tushaona Fatou anajikanyanga na kashamuachia Muthaura. Kesho Fatou akisema ana drop case against Uhuru kwa kukosa mashahidi, hawa Watswana watasemaje?
Kiranga,
tumekuwa "eager" for too long na bara hili sasa kila mtu anafanya kivyake na halisongi mbele. Sasa acha tu wenzetu wawe "over eager" kwa kusema ukweli, maana sisi wengine huwa tunauogopa sana na kuchagua unafiki.
Alichosema FM wa Botswana very diplomatic...key word here is 'Cooperation with the ICC", na kwamba anajuwa Wakenya hawana utamaduni wa kuikimbia ICC kama mzee wa Sudan...
Phandu Tombola Chaka Skelemani (born January 5, 1945[SUP][1][/SUP]) is a Botswana politician who has served in the government of Botswana as Minister of Foreign Affairs since 2008. A member of the ruling Botswana Democratic Party (BDP), Skelemani is a Member of Parliament in the National Assembly of Botswana and a member of the Pan-African Parliament from Botswana; previously, he was Attorney-General of Botswana from 1992 to 2003.
Career
"Skelemani was born in Mapoka Village.[SUP][1][/SUP] He earned a degree in law from the University of Botswana, Lesotho and Swaziland[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP] and worked in the civil service for 30 years,[SUP][3][/SUP] beginning when he became a state counsel in 1973.[SUP][1][/SUP][SUP][4][/SUP] Subsequently he became Senior State Counsel in 1975, Principal State Counsel in 1978, and Deputy Attorney-General in 1980.[SUP][1][/SUP] He was appointed as Attorney-General in 1992;[SUP][1][/SUP][SUP][4][/SUP] in that capacity, he advised the Cabinet and attended Cabinet meetings.[1"
source: Wikipedia.
Unasemaje ati? Botswana mwaka 2004 walikuwa na ng'ombe milioni kama tatu, na ndiyo waliokuwa wanaongoza kwa ku export meat Afrika...Tanzania ilikuwa na ng'ombe milioni 17, ikiwa ya tatu katika Afrika kuwa nao wengi, lakini haikuwa ina export hata mshikaki mmoja....na bado hizo foreign currency inazitumia ku import toothpick...bado unaona Bostwana wanalewea resources zao? You have got another thinking coming.
Kiranga,
tumekuwa "eager" for too long na bara hili sasa kila mtu anafanya kivyake na halisongi mbele. Sasa acha tu wenzetu wawe "over eager" kwa kusema ukweli, maana sisi wengine huwa tunauogopa sana na kuchagua unafiki.