Size ya radio ya gari (Spacio na Ist)

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,526
3,801
Wakuu,

Nina hizo baby walker mbili (spacio na ist) nahitaji kubadilisha radio zilizopo na kuweka android radio.

Kwa bahati mbaya radio hizo gharama yake ni 550,000 kwa hapa bongo lakini nina mtu hayupo bongo anataka kuniletea kwa bei chini ya hiyo.

Lakini sifahamu size ya radio ya gari hizo, ningekuwa nafahamu unapima wapi ningeweza kupima mwenyewe lakini sielewi wanachopima ni ile screen pekee inayoonyesha au ni ile sehem nzima ambapo radio imewekwa.

Msaada wakuu kwa anayejua size ya radio za gari hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo android ni aina gani ya radio au zinasifa gani zaidi ya radio nyingine??
 
Wakuu,

Nina hizo baby walker mbili (spacio na ist) nahitaji kubadilisha radio zilizopo na kuweka android radio.

Kwa bahati mbaya radio hizo gharama yake ni 550,000 kwa hapa bongo lakini nina mtu hayupo bongo anataka kuniletea kwa bei chini ya hiyo.

Lakini sifahamu size ya radio ya gari hizo, ningekuwa nafahamu unapima wapi ningeweza kupima mwenyewe lakini sielewi wanachopima ni ile screen pekee inayoonyesha au ni ile sehem nzima ambapo radio imewekwa.

Msaada wakuu kwa anayejua size ya radio za gari hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Bei unajua ila size hujui?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7inch, mimi nilinunua laki3 zipo og na fake,fake ni android lkn ukidownload app zinagoma na hata storage yake pia bado changamoto,uko wapi nikutaftie?
 
mkuu mabwiku nina subwoofer ya gari inayokaaga nyuma kwenye buti nataka niconnect na PC yangu ili nikisikiliza mziki kwa PC na boower lisikike.
Nifanyaje?
 
hiyo sub ni powered or passive ?? kama ni passive nunua amplifier 4ch ya watts 1000 itapendeza then hiyo spika ni bass tupu hivo lazima ununue spika za sauti pia na utafute PSU
 
Back
Top Bottom