Yani baadhi yenu wengi humu hamjamuelewa ni hivi WhatsApp file huenda ina 18
Lakini ukisha install huwa inachukua space zaidi kufikia hata 300MB jinsi muda unavyozidi, Cha msingi kila baada ya muda lazima uclear na hata ukiclear lazima utakuta bado imechukua nafasi Kama ya 142MB...