tume dawa yake katiba mya nina imani makamanda wetu watalimaliza hilo.kweli tunapaswa kuwa makini sana na mienendo yetu ya tume pia uelimishaji mzuri ili watu waelewe nini maana ya kura na nini maaana ya kampeni ivyo ni dhaili shairi kuwa kutokana matukio ya kuvumishiwa habari mbalimbali ya uonevu ndo chanzo cha watu kutokwenda kupiga kura au kwenda kwenye vituo vya kupigia kura. Heko wanaarumeru tumpatie ushirikiano wa kujenga arumeru.