Siyo story, ni kweli...


Huyo dogo alipelekwa hospital gani mkuu?Nina shida na hivyo vidole ujue.
 
Huyo Mdingi hakufanya jambo jema,anathamini gari zaidi klk mwanae
 
Huyo baba kaandikisha maelezo polisi ama bado? mana huyu motto anakatwa vidole bila form ya polis, ni kinyume na taratibu. Ni wapi huko ili turekebishe hilo mkuu
 

Ni story tu yenye mafunzo (kuthamini utu zaidi ya vitu) km zingine, km unasema ni kweli weka picha tuone.
 
Story ya kweli?Imetokea
wapi?Mtoto anaitwa nani?Baba anaitwa nani?wanakaa wapi?Je,mtoto alikatwa
kweli?,Km alikatwa hali yake ikoje sasa?Imetokea lini?Anatibiwa au
ametibiwa hosp gani?

kuna sehemu yoyote tukio hili liliporipotiwa?hatua gani za kisheria zimechukuliwa?
mtoa mada amemsaidiaje mtoto aliyepata matatizo?ameripoti polisi kwa hatua nyingine zaidi?
 
Huyo mdingi ana akili za kiChAaDeMu upande wa BaVichaa.
 
Wazazi yatupasa kufikiri kabla ya kutenda.Subira yavuta heri.
 
Weka pcha acha uzuxh bhana hatuwez kuamin kirahs ka unavyofikiria kamwe haitokei Eboo
 

Mh! Mkuu hii ni balaa nimesoma hadi nikahisi kama tumboni kumepita kaubaridi. Huyo dogo sijui atamwonaje mzee wake? Swali la kujiuliza. Alikosa fimbo ya kumchapa? hata kutumia mkono? Huyo mzee kwa alichokifanya kuna uwezekano mkubwa kama angekuwa na cha moto karibu angempiga Shaba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…