britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,287
- 49,246
Uzalendo umekushinda! Tulijua umepotelea mbali na akina Mzee Mdee 😂😂😂Habari zenu bwana !!
KALAMU . Hii hii inasababisha watu wapate misuko suko ama Kwa kuandika Au kuchora, Mara nyingi ukichora ambayo watu hawapendezwi nayo!
Kalamu ipo ituoneshe njia kwa maandishi, wakubwa msije mkafanya kuipuuza kalamu,
Waache waandishi wa habari waandike, acha vijana watoe duku duku Lao, Kupitia Kalamu .
Hii Hii KALAMU imempoteza Ben Saanane
Hii Hii kalamu imempoteza Azory wa gwanda bila kumsahau Kabendera Mjukuu wa Shinani kuwekwa ndani.
KALAMU isibezwe inaelimisha inaongoza na inasaidia Kwa kusahihisha!
Rais wangu Samia suluhu usije ukabeza nguvu ya Kalamu,
Askari wengi wanaoajiriwa bahati mbaya hawakuipenda kalamu, kuna kijana ka comment kwenye Royal Tour kutumia hiihii kalamu kaingia matattizoni
Kalamu hii hii imetuma watu fulani kuandikiwa Memo nao wakajibu memo wakaishia kulaumiana uhuni KALAMU
SI MIMI NI KALAMU NA UBAYA WA KALAMU SI KILA MWENYE MKONO WA KUISHIMA VEMA KUELEZA VEMA KWA KUDADAVUA
View attachment 2221865
Britanicca
Mh! Tapeli huyu anaweza kuheshimu kiapo chake! Jiwe alishindwa kuheshimu kiapo chake sembuse wajane wake!Heshimu kiapo chako, HAMA JUKWAA!
Unafanya nini humu JF?Habari zenu bwana !!
KALAMU . Hii hii inasababisha watu wapate misuko suko ama Kwa kuandika Au kuchora, Mara nyingi ukichora ambayo watu hawapendezwi nayo!
Kalamu ipo ituoneshe njia kwa maandishi, wakubwa msije mkafanya kuipuuza kalamu,
Waache waandishi wa habari waandike, acha vijana watoe duku duku Lao, Kupitia Kalamu .
Hii Hii KALAMU imempoteza Ben Saanane
Hii Hii kalamu imempoteza Azory wa gwanda bila kumsahau Kabendera Mjukuu wa Shinani kuwekwa ndani.
KALAMU isibezwe inaelimisha inaongoza na inasaidia Kwa kusahihisha!
Rais wangu Samia suluhu usije ukabeza nguvu ya Kalamu,
Askari wengi wanaoajiriwa bahati mbaya hawakuipenda kalamu, kuna kijana ka comment kwenye Royal Tour kutumia hiihii kalamu kaingia matattizoni
Kalamu hii hii imetuma watu fulani kuandikiwa Memo nao wakajibu memo wakaishia kulaumiana uhuni KALAMU
SI MIMI NI KALAMU NA UBAYA WA KALAMU SI KILA MWENYE MKONO WA KUISHIMA VEMA KUELEZA VEMA KWA KUDADAVUA
View attachment 2221865
Britanicca
Vipi mkuu ukraine wamefunga bomba la gas kwenda ulaya tunaomba uchambuzi wako.Habari zenu bwana !!
KALAMU . Hii hii inasababisha watu wapate misuko suko ama Kwa kuandika Au kuchora, Mara nyingi ukichora ambayo watu hawapendezwi nayo!
Kalamu ipo ituoneshe njia kwa maandishi, wakubwa msije mkafanya kuipuuza kalamu,
Waache waandishi wa habari waandike, acha vijana watoe duku duku Lao, Kupitia Kalamu .
Hii Hii KALAMU imempoteza Ben Saanane
Hii Hii kalamu imempoteza Azory wa gwanda bila kumsahau Kabendera Mjukuu wa Shinani kuwekwa ndani.
KALAMU isibezwe inaelimisha inaongoza na inasaidia Kwa kusahihisha!
Rais wangu Samia suluhu usije ukabeza nguvu ya Kalamu,
Askari wengi wanaoajiriwa bahati mbaya hawakuipenda kalamu, kuna kijana ka comment kwenye Royal Tour kutumia hiihii kalamu kaingia matattizoni
Kalamu hii hii imetuma watu fulani kuandikiwa Memo nao wakajibu memo wakaishia kulaumiana uhuni KALAMU
SI MIMI NI KALAMU NA UBAYA WA KALAMU SI KILA MWENYE MKONO WA KUISHIMA VEMA KUELEZA VEMA KWA KUDADAVUA
View attachment 2221865
Britanicca
Uachane na zile mbwembwe zako za "insider" story zako humu zimethibitisha huna "insider", au kama unao basi ni makanjanja tu, ujifunze kukaa kwa kutulia kama wenzio
Hana pakwenda huyo, yale yale mwanasiasa anapiga kelele watu walipe kodi akiambiwa na yeye alipe kodi anazima mic.Ulisema utaondoka jf vipi tena kusingizia kalamu?
Ondoka au badili id
Unaboa.
Simamia maamuzi
Ndugu zangu Britannica mbona unalalama,au ni Ile ahadi Yako yakujitoa,Ilhali ulikuwa haimaanishi🤔Habari zenu bwana !!
KALAMU . Hii hii inasababisha watu wapate misuko suko ama Kwa kuandika Au kuchora, Mara nyingi ukichora ambayo watu hawapendezwi nayo!
Kalamu ipo ituoneshe njia kwa maandishi, wakubwa msije mkafanya kuipuuza kalamu,
Waache waandishi wa habari waandike, acha vijana watoe duku duku Lao, Kupitia Kalamu .
Hii Hii KALAMU imempoteza Ben Saanane
Hii Hii kalamu imempoteza Azory wa gwanda bila kumsahau Kabendera Mjukuu wa Shinani kuwekwa ndani.
KALAMU isibezwe inaelimisha inaongoza na inasaidia Kwa kusahihisha!
Rais wangu Samia suluhu usije ukabeza nguvu ya Kalamu,
Askari wengi wanaoajiriwa bahati mbaya hawakuipenda kalamu, kuna kijana ka comment kwenye Royal Tour kutumia hiihii kalamu kaingia matattizoni
Kalamu hii hii imetuma watu fulani kuandikiwa Memo nao wakajibu memo wakaishia kulaumiana uhuni KALAMU
SI MIMI NI KALAMU NA UBAYA WA KALAMU SI KILA MWENYE MKONO WA KUISHIMA VEMA KUELEZA VEMA KWA KUDADAVUA
View attachment 2221865
Britanicca
Bora mumutoetoe hofu,bado tinamuhitaji humu jukwaani🤔Mkuu,
ni kuteleza tu
Mimi binafsi nimekusamehe
Karibu tuendelee na mijadala yenye kutujenga
Huyu jamaa huwa anajifanya ana info nyingi za system kumbe boya tupu, hana tofauti na misheni town wanaojifanya wao ni TISS wanakutisha unanijua mimi.Mkuu sikutegemea kukuona tena huku.Mzee Halima Mdee anakusalimia !.