Siyo Kila Kingaacho ni Dhahabu.

Aisee kujua historia ya mtu ni muhimuuu
Yah Mkuu,

Kitu ambacho nimejifunza zaidi ni kwamba ukienda maeneo ya watu usijifanye wewe ndiyo wewe kuonesha udume wako maana unaweza kuhatarisha maisha yako aisee!
 
hahaa mkuu ko ulitoka uchi au.......mana umeruka ruka sana vipande kwnye stor yako mkuu
 
KWA HIYO ULIPIGWA MAKOFI NA MAJINI AU?
 
Mkuu mkereketwa,

Huwa napenda sana utomaso hivyo kama kweli wewe ni nouma toa hiyo fursa ya kukutana nae uone.


Naniiii yako (0713) iko poa lakini, si nakukamata na kukushikisha ukuta kumbe una ukurutu kibao tunaanza kuambukizana tu.
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…