Siyo Kila Kingaacho ni Dhahabu.

joshydama yaani una bahati sana kuwa umekutana na haya.....kama ingekuwa ni mke wangu ungejuta maisha yako yote na mji ungeukimbia. Maana unajipanga ku-do na yeye, unakwenda sehemu husika huku umejiandaa unajikuta unainamishwa tena kwa ridhaa yako mwenyewe huku unampa mke wangu mzigo na anakupiga picha. Akimaliza kupakua kisamvu, chumba chote kinanuka na nakuja kubandika picha zako humu JF. Una bahati sana.
 
We rudia mchezo ila uende na kinyama au kimfupa cha mbuzi katoliki A.K.A noa A.K.A mdudu A.K.A kiti moto.hayo ni mapepo yatasepa then utakula vyako na baada ya kuachana nae baadae yatamchalaza yeye mwenyewe ili atie adabu asiyalee lee
 
Tunashukuru kwa taarifa kuwa "Unamiliki ndinga" ....HONGERA SANA kwa kujipromoti kwa warembo wa Jf wapenda wanaume wenye magari yao.
 
Hahahah!

Mkuu una mikwara ya kitoto sana.
 
We kiboko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tunashukuru kwa taarifa kuwa "Unamiliki ndinga" ....HONGERA SANA kwa kujipromoti kwa warembo wa Jf wapenda wanaume wenye magari yao.
Ndinga kawaida sana Mkuu.
Mwanaume wa kweli hawezi jivunia kuwa na ndinga mkuu.

Ingawa inakuongezea sifa na heshima kwa warembo wa type Fulani hivi.

Pia Hautochomwa na jua wala kuwa na mijasho ya hapa na pale Mkuu.
 
We rudia mchezo ila uende na kinyama au kimfupa cha mbuzi katoliki A.K.A noa A.K.A mdudu A.K.A kiti moto.hayo ni mapepo yatasepa then utakula vyako na baada ya kuachana nae baadae yatamuchalaza yeye mwenyewe ili atie asadabu aisiyalee lee
Nilikuwa sijui mkuu!
Ngoja nimcheki usiku huu!
 
Mwanaume wa kweli unamzindika vipi mwanamke?

Huko ni kutokujiamini.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji41][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiii msaada jamani mbavu zinatokaaaaaa.....[emoji115] [emoji2] [emoji2] khaa umeniacha hoi kwa kweli [emoji2]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji41][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiii msaada jamani mbavu zinatokaaaaaa.....[emoji115] [emoji2] [emoji2] khaa umeniacha hoi kwa kweli [emoji2]
Acha nae huyo jamaa ni mganga wa kienyeji kijijini kwao!

Asije akakuzindika bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…