Siyo Kila Kingaacho ni Dhahabu.

Ni kweli mkuu! Mda mwingine mtu anakuzungusha ili kukulinda!!! Ndo mana hili tendo si la kulazimishana kabisaa.
Vitu vingine hutokea ili iwe funzo kwa mhusika na si vingenevyo mkuu!
 
Namba yake plz
 
[emoji23] [emoji13] [emoji12] [emoji144]
 
mhudumu wa pale lodge mnafahamiana!! kumbe we ni mwenyeji pale mkuu!! pole sana kwa yaliyokupata, ndo uanaume huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…