Umekurupuka toka usingizini?At least six children have been killed and 25 others injured in an explosion at a primary school in north-west Tanzania, witnesses say.
Reports say the pupils were playing with a grenade they had found.
Three were pronounced dead at the time they arrived at hospital. The others succumbed to their wounds, Rulenge hospital's doctor in charge, Sister Maria Goreth Fredricks, told the BBC.
The school is in Kagera region near the border with Burundi.
The BBC's Leonard Mubali in Tanzania reports that the region hosts refugees from neighbouring Burundi, some of them ex-soldiers, who could have abandoned their weapons in the area.
He says that the device that exploded is likely to be a grenade.
Pupils killed playing with 'grenade'
Wewe nyang'au acha kutoa pole zako za kinafiki. Habari ya mwaka jana ndio unajifanya kutoa pole leo?Hizi habari za lini, poleni sana.
Wewe nyang'au acha kutoa pole zako za kinafiki. Habari ya mwaka jana ndio unajifanya kutoa pole leo?
Kwa unafiki tu hujambo. Tangu lini linyang'au likawa na roho ya huruma? Hii sijawahi kuona.Ziwe za mwaka jana, juzi haijalishi, cha msingi ni kwamba sisi hatuna roho ngumu kama nyie ambao huchekelea kila tukishambuliwa na Mashababi, tunatoa pole kwa dhati na tukimaanisha. Sipendi kabisa mambo ya mabomu au mauaji, hata kwa adui yangu siwezi nikapenda imtokee.
Kwa unafiki tu hujambo. Tangu lini linyang'au likawa na roho ya huruma? Hii sijawahi kuona.
Sasa mbona unaanza kutoka nje ya mada. Ulemavu wa ngozi, tetemeko la ardhi Kagera yana uhusiano gani na habari iliyopo mezani?Ulaji wa albino na kuwaua watoto hao maskini wa ulemavu wa ngozi umeskia Kenya??? Roho ngumu za kishetani mnazo nyie sio sisi.
Hata tetemeko la ardhi la Kagera tulikuja kutoa msaada wakati nyie mlikausha...
Asante MkuuHizi habari za lini, poleni sana.
Which neighbours?Very sad indeed. My condolences to our neighbours.
Who knows?Which neighbours?
So you don't know..!Who knows?
Yana uhusiano mkubwa sana. Wewe mwenyewe ulisema manyang'au hawana roho ya utu. Mk254 akakupa mifano ya nyinyi kula albino kuonyesha kwamba nyinyi pia ni manyang'au tu. Kisha akatoa mfano wa tetemeko la ardhi na jinsi Kenya ilikuwa ya kwanza kutoa msaada, kuonyesha kwamba Kenya si nyang'au kama unavyodhani weweSasa mbona unaanza kutoka nje ya mada. Ulemavu wa ngozi, tetemeko la ardhi Kagera yana uhusiano gani na habari iliyopo mezani?