Six pack at 70 years

Six pack at 70 years

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
407
Nyie mnaosema mmechelewa kuanza mazoezi mnaishia kukuza matumbo tu na kujitakia presha za hapa na pale, anzeni kufanya mazoezi...

Huyu mzee kaweza akiwa katika 70 years old, shangaa sasa kijana wa miaka 28 anatembea na tumbo kubwa kama mtumbwi uliopigwa na wimbi!

Mnashindwa mpaka kufanya mambo mengine ya kujamiiana (socialization) e.g sports and gaming sababu ya kuwa na viriba tumbo na minyama isiyo na shape mwilini...

Change now!

1655973_746090072115258_7226482166419330854_n.jpg
 
Young men rudini mazoezini..

Hata joging inatosha kuweka mwili sawa..

Chips za mafuta ya transformer zitawaua..!

10534136_743071155750483_2331023318612866752_n.jpg
 
Uyu Mzee Nilimuona Kwenye Movie Ya G.I Joe 3, Nilipenda Sana Mule Ndani Ali'Act Kama Rais Wa Marekan
 
Kanuni ya soko la warembo linataka mtu ujazie mifukoni na sio kifuani....
 
Umenikumbusha kuna DCM moja lilikuwa limeandikwa "Iga ufe tule ubwabwa"
 
Huyu ndio kiboko ya six egesha
 

Attachments

  • 1426015284874.jpg
    1426015284874.jpg
    17.9 KB · Views: 137

Similar Discussions

Back
Top Bottom