Siwezi kuwa serious na maisha, kwanza maisha yenyewe hayapo serious

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
14,362
21,649
Hapa dunian tunapita, kuwa serious na mambo ya hapa dunian ni matumizi mabaya ya akili.

Kwanza kesho haijulikani, lengo la kuishi hapa duniani halijulikani ni mauza uza tu.

Pata pesa kula sana, kunywa sana, tumia ipasavyo kama unakufa kesho.

Kuwaza mambo ya kesho ni kujipa stress bure, hapa duniani tunapita sasa kujenge mijengo ya kifahari wakati, muda si mrefu unaenda kusukumiwa tani kadhaa za udongo kaburini tena magari, nguo pesa unaziacha, ndio nini sasa!

Kuwa serious na maisha ni matumizi mabaya ya akili, kila bata, kula kuku, kunywa bia, fanya unachopenda kula sanaa, kujibana kisa kesho ambayo haijulikani ni unyang'ao.
 
Kwenye maisha kuna 'chain', kabla ya wewe kuna mtu aliandaa maisha yako hadi umeyafikia. Na wewe pia kuna mtu mwingine utamkabidhi kijiti na kuendelea nacho. Tunaishi kwa kutegemeana na ndo maana tunazaa na watoto, kuna ndugu, jamaa na wanaokuzunguka pia.
 
.... umesema maisha hauko nayo serious sasa hizo pesa na hao Bata wanini kama hauko nayo serious....kufa Basi!!! cha ajabu mtu akija na kibastola kidogo hata tigo utatoa ili usife...
Unafikiri wagunduzi wote Tesla, Newton, Albert wote wangekuwa wajinga kama wewe unadhani duniani pangekuwa hivi palivyo???....
Kama hujitambui wewe ni mjinga bora ukae kimya tu baki nayo mawazo yako ya babycare....maisha yamekupa mgongo ndo maana unalialia hapa....
 
kila mtu ana dhumuni lake brother

kuna mwingine akipata mahitaji muhimu na starehe anaona life limekwisha

wengine hivyo vitu kwao ni extra, wao kutumia vipaji na uwezo wao kuleta mabadiliko ndo kitu cha kwanza.

wote tunategemeana maana hata wavumbuzi wa simu wanategemea watu tusiohangaisha akili kuzitengeneza kununua simu zao.
 
Pole sana mkuu

inaonekana unatoaga sana tigo, kwa iyo mimi sio mteja wako samahani .

Kama hujui, kula bata na kujirusha viwanja na madem frequently , means you dont care about tomorrow, kwa sababu ungeweza kuinvest na kufanya vitu vya maana

Wewe inaonekana una stress na upo serious na haya maisha, ndio maana una mi hasira muda wote, Pole sana
 
Kutegemeana sawa, ila kila mtu ajipambanie
 
Kuna kaukweli fulani lakini kama kila mtu angekuwa na mawazo ya kula bata kama wewe bac hata hizo bia zisingekuwepo ksb hakuna mtu ambaye angesumbukia maendeleo ya baadae.
 
Hapa dunian tunapita, kuwa serious na mambo ya hapa dunian ni matumizi mabaya ya akili.

Kwanza kesho haijulikani, lengo la kuishi hapa duniani halijulikani ni mauza uza tu.

Pata pesa kula sana, kunywa sana, tumia ipasavyo kama unakufa kesho.

Kuwaza mambo ya kesho ni kujipa stress bure, hapa duniani tunapita sasa kujenge mijengo ya kifahari wakati, muda si mrefu unaenda kusukumiwa tani kadhaa za udongo kaburini tena magari, nguo pesa unaziacha, ndio nini sasa!

Kuwa serious na maisha ni matumizi mabaya ya akili, kila bata, kula kuku, kunywa bia, fanya unachopenda kula sanaa, kujibana kisa kesho ambayo haijulikani ni unyang'ao.
Jamii ya watu wengi na mimi nikiwemo tunakua serious hasa kwa sababu za watoto wadogo tulionao,maana tunahitajo wakue na ndiyo maana mala kadhaa mtu akiwa na watoto wenye wamevuka miaka 18 utamuona anakua kama ana pumzika hv hana hofu sana, kwa mimi kwa kweli kuiwaza kesho kunatokana na kua kwangu na watoto wadogo ambao nikicheza watapata shida kubwa...isipokua pia kuna uwezekano mkubwa wa wewe mtoa mada kua huna familia na hasa familia unayoipenda hasa watoto ambao unatamani wasihangaike kesho na kesho kutwa
 
Jamaa haeleweki,anasema kujenga mijengo ya kifahari haina maaa wakati huo anadai tule bata tuu.Sasa hao bata utawalia wapi bila kulima,kuzalisha bidhaa(viwanda) na kujenga??
 
Pole sana mkuu

inaonekana unatoaga sana tigo, kwa iyo mimi sio mteja wako samahani .

Kama hujui, kula bata na kujirusha viwanja na madem frequently , means you dont care about tomorrow, kwa sababu ungeweza kuinvest na kufanya vitu vya maana

Wewe inaonekana una stress na upo serious na haya maisha, ndio maana una mi hasira muda wote, Pole sana
Ungekuwa hauko serious na maisha usingejibu wala kuumia na maneno yangu....umejibu sababu umeumia na uko serious na maisha....alafu wewe inaonekana bado mtoto sasa subiri ukue uwe na familia ndipo utakuja kufuta hizi pumba zako.... narudia tena Ficha UJINGA wako.....
 
Back
Top Bottom