Siwezi Kutumia Jamii Forum..!!!!!!

Siwezi Kutumia Jamii Forum..!!!!!!

Pompoo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
362
Reaction score
41
Jaman mimi sio mgeni saana ila kiukweli kuna mambo siyajui humu..
1.Ikiwa nimetoa thread yangu na member wakachangia ni jins gan nitaiona tena hyo thread ili nijibizane na member?
2. Ikiwa nataka kucoment kwa picha nifanyaje?? Maana kuna kpnd niliapload pcha kwenye coment lakin ckuiona
3.Ikiwa nataka kum PM m2 nifanyaje?? Hata hyo PM yenyewe cjui maana yake nielekezeni..
4. Ikiwa na2mia cm nitawezaje kuweka alama mbalimbali km nizionapo ninapokua na PC?
5. Ikiwa post yako imeondolewa au kuhamishwa jukwaa lingine utapataje taarifa??
6.Jee kuna jins unaweza fanya mtu akaona ume like post yake bila kusema chochote?
7.Kuna baadhi ya post naziona zinawekwa rangi mf.. Red,blue au ku bold in black.. Unafanyaje?
Ni hayo tu Wakuu naombeni msaada..
Naipenda sana JF ila nashndwa kuitumia
 
Yanajibika lakini ngoja nikuitie baadhi ya wataalamu waje kukujibu chief mkwawa, NingaR,C6 mje huku.
 
Last edited by a moderator:
bwana Pompoo maswali yako yote yana majibu, ukienda jukwaa la science stuffs, kuna bandiko liko sticky utapata majibu yako yooote

labda swali la 5.
kama huoni bandiko lako ili kuthibitisha limefutwa au limeamishwa basi muulize moderator(kiranja) wa jukwaa husika, majina yao huonekana chini ya jukwaa husika, kama huoni jina unaweza kumuandikia Moderator au robot Invisible kwa msaada zaidi
 
Last edited by a moderator:
Jaman mimi sio mgeni saana ila kiukweli kuna mambo siyajui humu..
1.Ikiwa nimetoa thread yangu na member wakachangia ni jins gan nitaiona tena hyo thread ili nijibizane na member?
2. Ikiwa nataka kucoment kwa picha nifanyaje?? Maana kuna kpnd niliapload pcha kwenye coment lakin ckuiona
3.Ikiwa nataka kum PM m2 nifanyaje?? Hata hyo PM yenyewe cjui maana yake nielekezeni..
4. Ikiwa na2mia cm nitawezaje kuweka alama mbalimbali km nizionapo ninapokua na PC?
5. Ikiwa post yako imeondolewa au kuhamishwa jukwaa lingine utapataje taarifa??
6.Jee kuna jins unaweza fanya mtu akaona ume like post yake bila kusema chochote?
7.Kuna baadhi ya post naziona zinawekwa rangi mf.. Red,blue au ku bold in black.. Unafanyaje?
Ni hayo tu Wakuu naombeni msaada..
Naipenda sana JF ila nashndwa kuitumia

Invisible ndo msaada...........
 
Majibu yako yapo katika link hapo chini, kwenye No5 ilikujua kuwa post hako imehamishiwa jukwaa jingine utaona imeanza na neno Moved: na ukiibofya itafunguka lakini itakua katika jukwaa ilipo hamishiwa

for JF MOBILE USERS
 
bwana
Pompoo maswali yako yote yana majibu, ukienda
jukwaa la science stuffs, kuna bandiko liko sticky utapata majibu yako
yooote

labda swali la 5.
kama huoni bandiko lako ili kuthibitisha limefutwa au limeamishwa basi
muulize moderator(kiranja) wa jukwaa husika, majina yao huonekana chini
ya jukwaa husika, kama huoni jina unaweza kumuandikia
Moderator au robot
Invisible kwa msaada zaidi

Asante Mkuu kwa msaada
 
Last edited by a moderator:
Amaakweliii Kuuliza SI Ujinga..
ASANTENI SAANA
 
Back
Top Bottom