kidotistyle
Member
- Dec 20, 2012
- 5
- 0
Mimi ni mwana ndoa mme wangu anamwanamke wa nje nimeshakuta msg simu za yule dada nazikuta nimeumia mpaka sasa hv naamua kupotezea ila kinachonisumbua sasa ni mhemuko haniridhishi kabisa ni atanipa kimoja hata kabla sijafika mwisho kamaliza na hataki nimguse tena nikifikiria kuwa na mwanaume naogopa kushindana nae Na pia naogopa kuitwa mke wa mtu kicheche nikifikiria kuondoka sina kazi nitawalisha nini watoto na pia naona nikiwa na mtu hatanithamini maana ataona mke wa mtu kicheche kweli inanichanganya nifanyeje wenye hekima tafadhari naomba ushauri
pole sana mwanadoa mwenzangu. unajua ndoa inaanza kuharibikia hapo hapo kitandani kwako! hebu fikiria, ni kwa kiasi gani umekuwa ukijishughulisha wakati wa kale kamchezo? usije kuwa ilianza kuzembea, mumeo akapata chance kwa mwingine. na kama huyo wa nje amekuzidi kwa 'mapigo'......basi hali yako ni mbaya. ushauru wangu....kaa na mumeo, mweleze na mwonyeshe huo uthibitisho wako kuwa ana ka-nyumba ndogo......kisha mwulize ni wapi ulipokosea? or amua kutokumwambia kuwa ana mtu nje.......rejesha sasa upendo wako ule wa mwanzo........atarudi.
Mimi ni mwana ndoa mme wangu anamwanamke wa nje nimeshakuta msg simu za yule dada nazikuta nimeumia mpaka sasa hv naamua kupotezea ila kinachonisumbua sasa ni mhemuko haniridhishi kabisa ni atanipa kimoja hata kabla sijafika mwisho kamaliza na hataki nimguse tena nikifikiria kuwa na mwanaume naogopa kushindana nae Na pia naogopa kuitwa mke wa mtu kicheche nikifikiria kuondoka sina kazi nitawalisha nini watoto na pia naona nikiwa na mtu hatanithamini maana ataona mke wa mtu kicheche kweli inanichanganya nifanyeje wenye hekima tafadhari naomba ushauri
Mimi ni mwana ndoa mme wangu anamwanamke wa nje nimeshakuta msg simu za yule dada nazikuta nimeumia mpaka sasa hv naamua kupotezea ila kinachonisumbua sasa ni mhemuko haniridhishi kabisa ni atanipa kimoja hata kabla sijafika mwisho kamaliza na hataki nimguse tena nikifikiria kuwa na mwanaume naogopa kushindana nae Na pia naogopa kuitwa mke wa mtu kicheche nikifikiria kuondoka sina kazi nitawalisha nini watoto na pia naona nikiwa na mtu hatanithamini maana ataona mke wa mtu kicheche kweli inanichanganya nifanyeje wenye hekima tafadhari naomba ushauri
yeye kama amemwaga ugali wewe mwaga mboga no yangu 0712......44Mimi ni mwana ndoa mme wangu anamwanamke wa nje nimeshakuta msg simu za yule dada nazikuta nimeumia mpaka sasa hv naamua kupotezea ila kinachonisumbua sasa ni mhemuko haniridhishi kabisa ni atanipa kimoja hata kabla sijafika mwisho kamaliza na hataki nimguse tena nikifikiria kuwa na mwanaume naogopa kushindana nae Na pia naogopa kuitwa mke wa mtu kicheche nikifikiria kuondoka sina kazi nitawalisha nini watoto na pia naona nikiwa na mtu hatanithamini maana ataona mke wa mtu kicheche kweli inanichanganya nifanyeje wenye hekima tafadhari naomba ushauri
nina elimu nzuri na nimeacha kazi baada ya kuona nina watoto mapacha mara mbili yaani wannee wamefatana sana na watundu tukashauriana niache ili niwe nawaangalia kwa ukaribu kuliko kumuachia mdada wa kazi watoto wote atakimbiaMhh huwa mara nyingi linapokuja suala la kutoa ushauri kwa matatizo haya ya ukware kwa wanandoa huwa nawiwa vigumu kuchangia...
Ila nafikiri kama mimi ningekua ni wewe bi dada, basi ningerudi nyumbani kuepusha tafrani zaidi.
Halafu jitahidi utafute shughuli ya kukuingizia kipato hata kuuza mkaa....acha habari ya kuwa kopo la kisimani.
pole,ila hiyo ndoa unaiharibu mwenyewe ndugu yangu.jipambe vizuri na vaa mavazi yanamvutia mkiwa vijana muombe mtoke out itasaidia sana,kitanda nacho kinachosha gundua sehemu nyingine ata hapo home ili kurudisha penzi.ukishaolewa sio we ndo basi tena wa kuosha vyombo na kupika mshuzi ndoa ukaisahau hata usafi wa mwili wko pia shughuli.kuna jirani yetu akiamka haogi mpaka anapokwenda kulala.kwa nn asimpende huyo wa ofisin ambaye kla saa anaogezea makeup
nina elimu nzuri na nimeacha kazi baada ya kuona nina watoto mapacha mara mbili yaani wannee wamefatana sana na watundu tukashauriana niache ili niwe nawaangalia kwa ukaribu kuliko kumuachia mdada wa kazi watoto wote atakimbia
Jaribu kuwasiliana na wazazi wa pande zote mbili (kama wapo) au ndugu wa karibu wenye busara, hitisha kikao kisha mwaga kuku kwenye mtama kuhusu tabia ya huyu bwana wako. I bet utapata suluhisho la matatizo yako na kuendelea kufaidi upya mwili wa mmeo.