Siwezi kuscroll thread za JF, Msaada please !!

Kubota

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
533
Reaction score
1,110
Wakuu heshima kwenu, ninaomba msaada nifanyeje, ninapofungua thread ya JF nashindwa kuscroll ili kusoma posts, ile scroll bar hutokea na kutoweka au inakuwepo lakini nikiscroll hainifanyi kufika hadi mwisho wa page yaani inascroll kidogo tu na kufikia limit. Ni laptop NEC, Windows xp. Wakuu mnaojua mambo haya msaada tafadhari nashindwa kujibu hoja na kupost jamani, nifanyeje, nikizima pc na kuwasha hakuna changes, kuna settings za kufanya? Natanguliza shukurani.
 
Inakutokea hivyo kwa JF tu au kwa web yeyote unayoingia?. Na ukizima tu na kuiwasha machine haiwezi kuleta changes zozote labda uianzishe upya (restart).
 
Inakutokea hivyo kwa JF tu au kwa web yeyote unayoingia?. Na ukizima tu na kuiwasha machine haiwezi kuleta changes zozote labda uianzishe upya (restart).
Inanituokea kwenye web page za JF tu na ni kwa pc yangu pekee, hapa ninaandikia kwenye pc ya kuazima. Msaada kwa mnaojua kurekebisha !!
 
Inanituokea kwenye web page za JF tu na ni kwa pc yangu pekee, hapa ninaandikia kwenye pc ya kuazima. Msaada kwa mnaojua kurekebisha !!

Hilo ni geni kwangu, fanya hivi jaribu kutumia browser tofauti na unayotumia kila siku. Kama shida inaendelea leta feedback.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…