Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Katika maisha kuna mambo mtu huwez sahau miaka yote.mimi nmelazimika kuhama mtaa kutokana na aibu nliyopata. Ukienda sinza madukani uliza geko mnamjua. Watakupa story zangu zote na kisa cha kuhama saa saba usiku.
Nakumbuka siku hiyo ya jumamosi watu wote wapo makwao na ni likizo ndogo ya pasaka hata wanafunz wamerud makwao. Nikawa natembea mwenyewe sina hili waka lile.
Nlishangaa sana watu wananitizama na kuoneshana vidole kila ninapopita.sikuelewa baadaye nikadhan labda sabab ya pamba nlizokuwa nimepiga siku hiyo tite zangu na raba nyekundu zinawaka sana.sikujua maskini kuwa nyeti zangu zote zilikuwa nje.hata watoto wadogo walikuwa wanacheka.
Hali ilipozidi nliamua kumuuliza sister mmoja jiran kuwa wats wrong mbona watu wananitazama sana na kunishangaa.ndo akanambia mtaa mzima sasa wanajua kuwa nlipigwa vibao na demu wangu mpaka kulia.
Nliumizwa sana na hilo jambo kumbe kuna jamaa aliniona siku hiyo uchochoron demu wangu ananiwasha mimbata na akaenda tangaza kwa watu.nliambiwa ni nani anaweka nyeti zangu hadharan nli mmind sana.