Huu uislamu jamani...................ni dini ya chuki wakati wote..............ua wengi ndugu zako wapate faida kweli dini inafundisha na kuagiza watu kuua hovyo?...dunia bila uislamu ingekuwa salama sana
Wakuu swala ya Middle East ni tete sana.Sisi inakuwa vigumu sana kuwaelewa hawa ndugu wa Mashariki ya Kati.
Kwanza hawa wote ni ndugu wa asili moja na itikadi zinazolingana.Tusijejidanganya kuwa waIsraeli ni waKristo na waPalestina ni waislamu ndio maana wanapigana la hasha.
Kwanza waIsraeli ni Wayahudi na wengi hawautambui Ukkristo.
Pili suala la Uyahudi, Ukristo na Uislamu usichanganywe, kwa kuliona suala la mashariki ya kati.
Tatizo kubwa pale ni ARDHI, pure and simple.
Wayahudi waliondoka Israeli miaka mingi iliyopita, wakarudishwa pale baada ya vita kuu ya pili. Waingereza wakifikiri wanawahurumia sana wakawarudisha pale kwa wingi.
Hapo mahala hapakuwepo ombwe, walikuwepo waPalestina, wakafukuzwa-sasa hawa waende wapi?
Wapalestina wamekuwa katika makambi ya ukimbizi nchini mwao na katika nchi ya Jordan na Syria.Kosa lao nini.Mbaya zaidi baada ya vita ya 1967 ardhi zaidi ya waarabu ikatekwa ingawaje Misri iliingia mkataba kurudishiana ardhi hiyo.
Masikini waPalestina hawana mtetezi, Israel inayo Marekani.
Hvi vitimbi vya Hamas ni vya mtu aliyechanganyikiwa maana hata nchi hana, sana sana sehemu ndogo ya kujidai ambayo haitambuliwi kama Taifa.
Deep frustration na resentment ya jumuiya hizi mbili ndicho kinachoonekana sasa.
Hizi jamii zote mbili waIsraeli na waPalestina ni watu wa visasi, watu wa jino kwa jino.
Tusisahau kuwa Kurani na Torati(karibu sawa na Agano la Kale) ni vitabu vinavyolingana sana.
Jamaa zetu hawa hakuna kitakacho wasuluhisha , pengine mpaka Yesu arudi tena!
Hawa Hamasa ni Kama CUF huku kwetu! Hizi dini zenye mrengo wa kisiasa si za kuzipa nafasi kabisa
hela yao, kula yao inakuja kama kuna instability middle east. Hapo ndiyo shida ilipo.
Asante sana mkuu kwa post yako hii nzuri sana, yote ulio andika ni kweli kabisa ila kwenye red nadhani umekosea kidogo.
Hamas ni freedom fighers wanao tetea ardhi yao ilio tekwa na waIsraeli.
Na kuhusu Quran tukufu, Quran inawaamrisha waumini daima kusamehe na wanapo lipiza kisasi walipize vile vile kama walivyo tendewa bila kuzidisha kitu lakini wakisamehe ndio bora zaidi (wamepewa two options).
Jamaa wengi hawaju kuwa waPelestine wengi sana ni waKristo, waIsraeli si waKristo, waIsraeli ni Wayahudi na wengi hawautambui Ukristo kabisa.
Kama ambavyo kula na hela ya viongozi wa CCM inavyotokana na umasikini wa waTZ. Hamas na CCM have one thing in common they are well organized criminal organizations ambazo zinavaa mwamvuli wa chama.
Pale wanapoua wanawake, watoto na raia wasio na hatia wanalipiza mauaji gani waliyotendewa na hao wanaowaua?
Wadau wote hapo juu kama mnaweza kupata kitabu kinaitwa THE SON OF HAMAS mtapata mwanga mzuri sana,hichi kitabu kimeandikwa na jamaa anaitwa Mosab Hassan Yousef ambaye alikuwa ni mtoto na right hand man wa mmoja wa top founders wa Hamas ambaye baadae alikuja kuwa spy wa Israel(Shin Bet),nadhani hapo mtakuwa mmepata picha.
ivi suicide bomber in the midle of the market anaenda heaven ipi? maaana anaua wanawake na watoto kwani hao ndio waendaji sokoni, cud somebody explain this? kuna maandiko yoyote labda somewhere inayompa huyu mtu mamlaka ya kuua watu wasio na hatia na kudai anaenda heaven?
jile 79, Waisraeli ndio sababu ya problem hii si Uislamu, Waisraeli wanaendelea kujenga Makazi ya Walowezi huko West Bank! na wanaendelea kuitawala ardhi ya palestine kwa mabavu. hamna watu walaghai kama waisraeli, wanajifanya kama wao ndio wanaonewa kumbe wao ndio wakoloni.
kama kweli wanataka usalama wangetoka zamani katika inchi ya watu walio itawala kwa mabavu au wangewapa wapelestine uhuru wao.
Asante sana mkuu kwa post yako hii nzuri sana, yote ulio andika ni kweli kabisa ila kwenye red nadhani umekosea kidogo.
Hamas ni freedom fighers wanao tetea ardhi yao ilio tekwa na waIsraeli.
Na kuhusu Quran tukufu, Quran inawaamrisha waumini daima kusamehe na wanapo lipiza kisasi walipize vile vile kama walivyo tendewa bila kuzidisha kitu lakini wakisamehe ndio bora zaidi (wamepewa two options).
Jamaa wengi hawajui kuwa waPelestine wengi sana ni waKristo, waIsraeli si waKristo, waIsraeli ni Wayahudi na wengi hawautambui Ukristo kabisa.
kwa maana hiyo kila jeshi anaenda vitani haingi peponi?