Jamani labda inawezekana hii issue inatokea kwangu tu, mnisaidie nijue...yan ikitokea halotel wanakutumia sms kwamba salio la MB zako ni 5, within a seconda wanatuma "hauna salio la MB"...ni kweli mb5 zinaweza katika within 1 or 2 seconds?
ni kwetu sote,once hiyo meseji ukiipata huwa zimeongozana na hiyo ya umebakiwa na 0,nchi yetu tu mayatima serikali haina msaada wowote kwahaya tunayofanyiwa na mitandao...

2014 nilichukua special namba kwa 60,000 na modem 60,000 jumla 120,000. ndani ya miezi kadhaa nikagundua nimeingia choo cha kike nikamwaga manyanga na kuachana nao, wana stability ya internet na coverage kubwa lakini hawakunishawishi nibaki kwao
Nilishawahama kitamboo kwanza kifurushi cha chuo walikipunguza kutoka 1229 MB kwa 1500 mpk 800 MB alafu zinaisha ndani ya siku tatu. Sasa nimerudi nyumbani tigo 1229 MB kwa wiki saaaafi