Kweli Siwaelewi CCM. Juzi juzi kama vile walisema AMANI inaharibiwa na baadhi ya vyama vya upinzani. Lakini sasa nasikia kuwa watu kutoka nje ya nchi wanaharibu amani yetu! Suala la udini na kauli tata zinaimaliza na kuizika CCM?
Tuikubali CHADEMA Nguvu ya Umma na Amani Tanzania. Chagua CHADEMA kata zote Arusha na kwingineko nchini Tanzania ili kuleta Demokrasia na Maendeleo Tanzania. Fanya uamuzi mzuri ewe mpiga kura za udiwani katika uchaguzi mdogo wa madiwani mwaka huu, 2013