Kweli CCM wamezidi mataga
Hata Jina usiwaamini hasa CCM. Mwigulu Nchemba, Hamis kigwangala na Paul Makonda wote wanatumia majina sio yao!Mwanasiasa muamini jina lake tu, mengine ni uhuni na utapeli kama mwingine
Mmh jina nalo haliaminiki kuna bashte mara paulo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanasiasa muamini jina lake tu, mengine ni uhuni na utapeli kama mwingine
Pia Kuna pombe Joseph dah! kweli ukiwa mwanasiasa wa majitaka CCM moto unakuhusu[emoji16][emoji16]Mmh jina nalo haliaminiki kuna bashte mara paulo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Rais wa sasa ndio amezidisha sana Uongo.
Anaishi kwa Neema ya uongo
Miaka 60 Chama hicho kimekuwa madarakani bado ulikuwa hujatambua kuwa hata huo uongo unaongezeka kila Uchaguzi kuupiku uongo uliotumika kupata ushindi wa kishindo wa Awamu iliyopita ndo maana Serikali zilizopita zinasahaulika kabisa. Awamu hii imevunja rikodi kwa uongo wa utekelezaji wa miradi utadhani Awamu zilizopita hazikuwepo kabisa au hazikutekeleza miradi yoyote ya maendeleo ingawa miradi yote inayoonekana na kuhesabika ni ya huko nyuma.Uwongo wao unaonekana wazi wazi mbali ya vitendo vyao hata kauli zao, hawa si wa kuwaamini. Huyu Polepole aliapa na kuwaambia wananchi wasiipe kura CCM au wasiichague CCM na hawa waliofikia hadi kuwa mawaziri na kufika kugombea uraisi wote walisema na kuapa kuiswaga CCM, leo wote wamerudi.
Una sababu gani ya kuwaamini wagombea wao wa uchaguzi? Mwaka huu ni kuwapiga na chini tu.
Jamaa waongo sana na mahodari wa kupangilia. Utawaona wanazungumza kwa makeke kama wanauwa drakula lakini wanayoyasema ni uwongo uliovuka mipaka.
Hayo madawa yangekuwepo sawa. Unalikumbuka like igizo la kuanzishwa kwa duka la dawa la msd pale muhimbili???"Nitatoa milioni 50 kwenye kila Kijiji kwa ajili ya kuwakopesha wananchi ili wajikwamue kiuchumi"
Baadae kauli ikabadilika "Milioni 50 zimepelekwa kwenye Vijiji kupitia huduma za kijamii kama elimu bure, madawa, umeme, nk"
Kuna mmoja alisema huyu kala maharage ya wapi?? Leo nae anagombea.