Kuna kipindi nli stuck kinoma mambo yakawa magumu (ugumu ambao hauelezeki) Aunty yangu akanishauri "nenda kafanye usafi kwenye makaburi ya wazazi wako uombe baraka zao" nlikua nna mda mrefu sana sija enda huko , basi nikaenda huko nikafanya usafi nikarudi zangu town mda si mrefu nikapata kazi
Kwa hiyo sababu za kujengea ni kumbukumbu pia kwa ajili ya kaibada Fulani! Ni sawa , ila wengine wanapamba mno, wengine kaburi linakuwa kana ghorofa. Kwa nini isiwekwe alama simple tu,?
Ukiwa mvivu na mnyimi/mchoyo Kila kitu cha kijamii utajoji na utaona kama wanakuibia.Lakini ukiwa mchapa kazi na usiye na roho ya uchoyo utaunga mkono Yale yanayofanywa na jamii kwa mantiki ya kuleta umoja na mshikamamo😃