Mie nimesikia kuwa Bernard Membe ndio anaandaliwa kuchukuwa nchi lakini fununu tu!!!!
Anaandaliwa au anajiandaa?
Raisi atakuwa Pinda kwani ni mwaminifu.
Lowasa na sita nani sii mwoga
Mi naona wote hawafai, inabidi tutumie approach aliyotumia Nyerere kumuibua Mkapa ambaye watu hawakuwahi kumtabiria. Au approach aliyotumia mkapa kumuibua Dr Shein ambapo watu walitabiri sana lakini hawakumtaja na akaibuliwa akawa Vice President.
Kaa chonjo mzee hapo
Kaa chonjo mzee hapo
Naona mawazo yako yalitumika mkuu ila yametuletea hatari kubwaMi naona wote hawafai, inabidi tutumie approach aliyotumia Nyerere kumuibua Mkapa ambaye watu hawakuwahi kumtabiria. Au approach aliyotumia mkapa kumuibua Dr Shein ambapo watu walitabiri sana lakini hawakumtaja na akaibuliwa akawa Vice President.
Heshima kwako mkuu kwa utabiri sahihiNgoja mimi nianze kumuandaa Dr. John Pombe Magufuli!............
Nadhani huyu atawafaa, kwani akipewa, hata bakora anaweza kutembeza ili mambo yaende.....ha ha haaaa!.......