Sitta: Uchaguzi ndani CCM umevurugika

Analilia urais tu huyo Six, hana jipya! Mbona alitishwa hakuwataja wamiliki wa Dowans, nae ni mnafiki tu! Na CCM yake wameoza wote!
 
Chama chenyewe kimebakiza miaka mitatu tu kifutike kwenye uso wa dunia lkn wao bado wanapigana vikumbo vya kugawa rushwa hili wachaguliwe, ushauri wangu kwao hizo pesa bora wazihifadhi hili 2015 kikinuka wapate nauli ya kukimbilia maana wengi watakwenda segerea, hizo kauli kuwa ukiwagusa Meremeta na Tangold nchi itayumba ni justification za wizi tu, kila aliyekwiba atawajibika.
 
Chaguzi zenyewe wanaanza bila kumtanguliza MUNGU watapata vipi viongozi wazuri??? ngoma iko huku CHADEMA,full kumtanguliza MUNGU Na ndio maana tunapeta.TUKISHINDA TU 2015 NITA MWAMBIA MUNGU SASA WAWEZA KUNICHUKUA MAANA TULILOTAKA LIMEKUWA.
 
Mh Sitta aache unafiki, kama CCM ni mbay akiasi hicho kwa nini bado anaendelea kuwa ndani ya CCM na kuwashambulia vyama vya Upinzani? It is clear kwamba ameshindwa kuisafisha CCM akiwa ndani yake sasa si atoke na kwenda kuuimarisha upinzani kama ana uchungu wa kweli wa nchi yake? Au ndio anaangalia tumbo lake lakini hawezi kuwa jasiri?
 

Tuwekee speech ya mzee Sitta hii habari kasema au hakusema peleka kwenye ile saccoss ya uzushi

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Analikia urais tu huyo Six, hana jipya! Mbona alitishwa hakuwataja wamiliki wa Dowans, nae ni mnafiki tu! Na CCM yake wameoza wote!

hawezi ondoka huko kwasababu anatambua hata yeye simsafi,ni dhaifu na mwizi kama wenzake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…