Viwango na Kasi mkuu
kama ukiniambia ni nani ndani ya CCM, mwenye uthubutu wa kubadilisha mfumo wa kiuongozi ni Sitta peke yake. Lakini bahati mbaya na sijui kama ndio kusudi la Mungu, Sitta amejichafua sana alipoingizwa mkenge kwenye swala la katiba. JK ni mtaalamu wa kutega watu na katika suala la katiba amefanikisha kumuingiza mkenge Sitta.
Sitta alitumiwa na chama chake katika suala la katiba maana waliamini ni mtu shujaa na shupavu ambae akiamua kukomalia jambo hamna wa kumuondosha hapo. Sasa anetumiwa tu kama toilet paper na sidhani kama waliomtega watampa walichomwahidi.
CCM kaeni pembeni sasa. Habari ya mjini ni UKAWA. UKAWA ndio jibu la umasikini tuliotengenezewa na mfumoccm.
Hata kama aliharibu kwny BMK, tunapaswa kumtendea haki kuwa anaweza kubadili mambo kwa muda mfupi, hata kwny BMK alifanya hivyo. Lakini pia ndiye spika aliyefanya bunge liwe na meno, na kuaminiwa na watz. Ni kiongozi mpambanaji kweli, pengine kuliko wote waliotangaza nia CCM!hahitaji miaka 10 kubadili mambo huyu!haa haa kama amekuwa serikalini kwa muda wote tangu uhuru ataweza kwa muda wa miaka mitano? ndani ya ccm hakuna wa kuleta mabadiko kamwe. lao nimoja kinachoendelea ni ulaghai tu kwa watanzania.
Kwa mantiki hiyohiyo ya ushujaa wabjuthubutu kufanya mabaya ni wazi kuea hafai, kama alitumiwa na chama kwa maslahi ya wachache na yuko ndani ya chama kilichomtumia kukandamiza maoni ya watu, akienda ikulu atakandamiza zaidi watu hao milioni 45, haeatakuwa na matumaini kabisa chini ya sitta