Sitta, Jabari la Kisiasa lilipondwa na Nyoka wa Makengeza sumu ikaenea mwili mzima

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,772
7,141
Wana JF,

Mkongwe Mh. Samweli Sitta ni mpiganaji wa siku nyingi ambaye alioongoza mapambano ndani ya CCM kuondoa tatizo sugu la ubadhilifu wa mali za umm na ufisadi, ilifikia hatua akawa rafiki wa watanzania wote kwani alioonyesha umakini katika kupigania haki ya watanzania, lakini tatizo kubwa alililokuwa nalo ni ukigeugeu pale anapoahidiwa kitu kizuri.

Mfano baada ya kuoa ccm mambo yanaenda kombo kwa wapigania haki , akaunda chama CCJ kimya kimya huku akiwatanguliza mpendazoe, nape na huyu wa ACT ASILIA anayetumika kufungua vyama na kukimbia baada ya kasi.

Huko mbele akiwa kwenye harakati ya kuutaka tena USIPIKA nyoka wa makengeza akachungulia kichwa akadonoa kidogo akamwangusha kwenye usipika, sumu aikuwa kali, baadaye kukaibuka ahadi tena za kuwania hali ya juu ili ajizatiti kuutaka usipika tena kwa mgongo wa katiba mpya hapa ndipo nyoka wa makengeza akatuna tena akamteea sumu kali iliyomgaragaza ila hakufa bali ameamua kustaafu kupenda ukubwa kwani ukubwa jiwe, nafikiri kazi ya nyoka wa makengeza imeisha naye uenda akastaafu siasa baada ya kuchukua kilichochake kwa kazi maalum.
 
Hahaha imebaki zamu yake joka naye kustafu hakuna namna
 
Wana JF,

Mkongwe Mh. Samweli Sitta ni mpiganaji wa siku nyingi ambaye alioongoza mapambano ndani ya CCM kuondoa tatizo sugu la ubadhilifu wa mali za umm na ufisadi, ilifikia hatua akawa rafiki wa watanzania wote kwani alioonyesha umakini katika kupigania haki ya watanzania, lakini tatizo kubwa alililokuwa nalo ni ukigeugeu pale anapoahidiwa kitu kizuri. Mfano baada ya kuoa ccm mambo yanaenda kombo kwa wapigania haki , akaunda chama CCJ kimya kimya huku akiwatanguliza mpendazoe, nape na huyu wa ACT ASILIA anayetumika kufungua vyama na kukimbia baada ya kasi. Huko mbele akiwa kwenye harakati ya kuutaka tena USIPIKA nyoka wa makengeza akachungulia kichwa akadonoa kidogo akamwangusha kwenye usipika, sumu aikuwa kali, baadaye kukaibuka ahadi tena za kuwania hali ya juu ili ajizatiti kuutaka usipika tena kwa mgongo wa katiba mpya hapa ndipo nyoka wa makengeza akatuna tena akamteea sumu kali iliyomgaragaza ila hakufa bali ameamua kustaafu kupenda ukubwa kwani ukubwa jiwe, nafikiri kazi ya nyoka wa makengeza imeisha naye uenda akastaafu siasa baada ya kuchukua kilichochake kwa kazi maalum.

Hahahaha.

Kweli umekaa ukatafakari. Nyoka wa Makengeza sumu yake inatisha.... Hahahahahahah
 
Kama unadhan aliondoa ubadhilifu,nenda kamuulize PM utumbo aloukuta BANDARINI
 
Kosa la kuchezea katiba ya wananchi sidhani kama nitakuja kumsamehe[MENTION][/MENTION]
 
Kama unadhan aliondoa ubadhilifu,nenda kamuulize PM utumbo aloukuta BANDARINI
hiyo sumu ndiyo ilikuwa unamilizia mwili wake. sasa ataandika kitabu sijui atakisoma nani wakati watanzania wote tushamweka kapuni na makandokando yake, labda akisome nyoka wa makengeza.
 
Jk Lowassa na Sitta ndio mapacha watatu waliotufikisha hapa lakin kwa uwezo wake Allah wakagombana na kusalitiana ikawa faida yetu kama Taifa.jk akawakata Rafiki zake kulinusuru Taifa. Lowassa kakatwa kwny Urais na na Sitta kakatwa mara 3,kwny uspika 2010, kwny uspika na Urais tena 2015. Aksante jakaya Mrisho Kikwete kuondoka na wahuni wenzako
 
Sita sijawahi kumwamini. Naona ni opportunist tu at any cost. Kama we unaamini ni mpambanaji basi endelea kuamini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom