Sitta electronics tunatoa huduma zifuatazo

Sitta electronics tunatoa huduma zifuatazo

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,116
SITTA ELECTRONICS DAR ES SALAAM TZ 0766 10 27 10.
- Tuna repair vifaa vya muziki makanisani, ukumbini nk vifaa kama keyboard, spika, subwoofer, gitaa, tv, madish aina zote, booster, amplify nk

- Tunaunda subwoofer znazoweza tumika kwenye bajaji, gari, nyumbani kulingana na uwezo wowote unaouhitaji na tunakupa na warant.

- Kama una vifaa au vyombo vya muziki vinakusumbua tupigie tunakuja mpaka ulipo na kufanya matengenezo.

- Tunafunga vyombo vya muziki aina zote.

- Tunapatikana Goba DSM.

- Tunafunga umeme wa sola n kufanya matengenezo yote ya vifaa vya solar.
 
Sehemu gani hapa goba niwatembelee ofisini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom