Mufiyakicheko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 892
- 86
sita
ameereza nijinsi gani wenye pesa ndani ya ccm walivo kuwa wamepania kumtowa ikashindikana kwamaelezo yake anasema vyama vingine vilimshawishi kugombea uraisi bado alibaki imala anashanga kusakamwa
mimi sihusiki na ccj hao walionifata nyumbani kunitaka nijiunge na vyama yvao leo wananipaka matopo kajifananisha na chuma chapuwa hakuna mwanachama aliye pata misukosuko kama 6 kayaeleza hayo mbeya
chanzo live G fm mbeya
jamani huyu jamaa yuko mbeya anatujuza yanayotokea kwenye mkutano wa magamba. Please be in context when reading.
Mimi nilichoelewa ni kuwa leo mkutano wa CCJ uliofanyika Mbeya umefana sana maana karibu viongozi wakuu wote wa CCJ walikuwepo
Sasa wewe umeelewa nini ?.
Kwa mwendo huu hata mimi nitakuwa mufiyakicheko, na naomba utuhabarishe hiyo sili inakuwakuwaje?jf samahani kama sijasomeka tarifa nilizopata watu wamekusanywa wajumbe 2 kira mtaa mbeya na wiraya zote wamelipiwa nauli na msosi mimi nipo kwenye gali g fm imeacha kusikika
Umesomeka vizuri tu wanaojifanya kutokuelewa ndio habari imewaingia kisawasawa wanakusumbua hao tunawajua.jf samahani kama sijasomeka tarifa nilizopata watu wamekusanywa wajumbe 2 kira mtaa mbeya na wiraya zote wamelipiwa nauli na msosi mimi nipo kwenye gali g fm imeacha kusikika
sijabahatika kwenda shule ila uliye enda shule inaonekana akili yako haina akili nenda jukwa la ruhgaKwa mwendo huu hata mimi nitakuwa mufiyakicheko, na naomba utuhabarishe hiyo sili inakuwakuwaje?
sita
ameereza nijinsi gani wenye pesa ndani ya ccm walivo kuwa wamepania kumtowa ikashindikana kwamaelezo yake anasema vyama vingine vilimshawishi kugombea uraisi bado alibaki imala anashanga kusakamwa
mimi sihusiki na ccj hao walionifata nyumbani kunitaka nijiunge na vyama yvao leo wananipaka matopo kajifananisha na chuma chapuwa hakuna mwanachama aliye pata misukosuko kama 6 kayaeleza hayo mbeya
chanzo live G fm mbeya
Kweli mkuu pia nimecheka sana,any way lakn mchizi anaeleweka vzr haswa kama mtu unasoma post za wengine kwa usahihi.Hii thread imenichekesha sana. Mufiyakicheko na walio comment mie hoi, mbavu sina.