Sir R
JF-Expert Member
- Oct 23, 2009
- 2,175
- 300
Kuna kila dalili kuwa Lowassa atakuwa mgombea wa urais kupitia CCM 2015.
Ikitokea hivyo, je Sitta atakuwa tayari kushiriki kampeni ya Lowassa ? Maana naona anachuki isiyo ya kawaida kwa
Lowassa. Ningetamani walio karibu na sitta watupe machache kuhusu mtazamo wa Sitta juu Urais wa Lowassa.
Waandishi wa habari naomba mkamulize Sitta kama atakuwa tayari kushiriki kampeni ya Lowassa kama chama kitampitisha.
Karibuni