OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
- Thread starter
-
- #21
Haya yote yanawatoka kwa akili zenu au kwa kulipwa? Nahisi ni dhana kwamba baadaye kichaa huyu atawakumbuka kwa allowance. Munamuita Sitta mzee, Lowasa ni kijana wa nchi gani? Lowasa hata afya ni mbovu.
Hisia yangu ni kwamba wote hawafai hata kuhitaji Urais, ingawa Lowasa anaonekana kama anakuwa senile.
Sipendi watu wanafiki. Sita ni mnafiki sana, adhabu yake ingetakiwa awe ameshauwawa sana hivi....
vibaka ni mbowe na slaa aka babu gongo waliopita na wake za watu
Jikite kwenye uzi ulioanzisha. Six ni Jembe Lowassa ni Mtani.
Au unabisha
vibaka ni mbowe na slaa aka babu gongo waliopita na wake za watu
Tuseme tu ukweli, katika uzalendo ndani ya Tanzania Lowasa hawezi kusimama na Sita hata kidogo. Ni afadhali CCM wamsimamishe Sita kugombea Urais kuliko Lowasa angalau wananchi watamuelewa...
unaweweseka wewe !
Kwenye uzi huu hao wanaingiaje tatizo lako hujielewi elewi
Sitta amevunja rekodi.Tuseme tu ukweli, katika uzalendo ndani ya Tanzania Lowasa hawezi kusimama na Sita hata kidogo. Ni afadhali CCM wamsimamishe Sita kugombea Urais kuliko Lowasa angalau wananchi watamuelewa...
Kawaulize CCM ni nani asiyechukua mke wa mtu,wengine wamezaa nao na kuwapa mpaka UBUNGE wa viti maalumu!
Nijulishe hizo mbio alizoshiriki na kuvunja rekodi. Zilfanyika lini,wapi na metre ngapi?Sitta amevunja rekodi.
Spika wa kasi na viwango.
!! Kwi kwi kwi kwi kwi Jf! raha mwanzo mpaka 0.ww ndo hujielewi,wakat mwngne jitahid umsaidia mkeo kuosha vyombo kama huna cha kuchangia
Wimbo; wanawake na maendeleo tufanyekazi tusonge mbele oo! Hv nani aliyeimba huu wimbo, bado ni mwanamuziki? Ooh nimemkumbuka ni...........viti mhimu.for example
Mchawi tu yule mzee hata mimi nikisimama nae hachomoi.Mimi siyo CCM;
Naweza kumsupport Lowassa kuliko Sitta;
Sitta amejaa unafiki
Na bado,awamu hii Sitta hadi ataielewa kondoo kwa kijaluo inaitwaje!?