Sitta ameupata ujumbe wa mahakama kuu?

Sitta ameupata ujumbe wa mahakama kuu?

yunus kb

Senior Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
118
Reaction score
53
Leo mahakama kuu imethibitisha kuwa m/kit wa BMK anakiuka sheria, sasa kwa uelewa wangu mdogo, kinachokwenda kuwasilishwa kesho na mh. Andrew Chenge ni BATILI ,wenye uelewa na umakini mkubwa zaidi yangu naomba mawazo yenu
 
Prof. Kabudi alishasema kuwa. "Mpumbafu hushupaa na kukataa ushauri wakati mjinga hushangaa na kutaka kujifunza! "
 
watu washajitoa ufahamu.....wekundu makumi thelathini si mchezo
 
Sitta anaogopa kutema posho...uroho umemtawala na hivi kapoteza matumaini ya kupata uraisi na uspika tutamkoma kwenye bunge la posho!
 
Leo mahakama kuu imethibitisha kuwa m/kit wa BMK anakiuka sheria, sasa kwa uelewa wangu mdogo, kinachokwenda kuwasilishwa kesho na mh. Andrew Chenge ni BATILI ,wenye uelewa na umakini mkubwa zaidi yangu naomba mawazo yenu

Mahakama haijasema wala kuthibitisha ila imeambiwa na mawakili wa mshitaki wakati anaieleza mahakama hoja zake za kufungua kesi ya kupinga BMLK. Ieleweke kwamba kesi bado inasikilizwa na uamuzi bado kutolewa. Bila shaka hukuelewa ulichosikiliza ITV.
 
Samwel Sitta ni mpumbavu!!
Katika Tanzania hakuna jitu katili kama Samwel Sitta!!!
Nadhani hata nyoka ana nafuu!!!
 
Serikali ya ccm wote MUNGU atawahukumu siku ya mwisho
 
Samwel Sitta ni mpumbavu!!
Katika Tanzania hakuna jitu katili kama Samwel Sitta!!!
Nadhani hata nyoka ana nafuu!!!
sitta ana laana za wanachi yule ndo yupo kama amechangikiwa
 
Leo mahakama kuu imethibitisha kuwa m/kit wa BMK anakiuka sheria, sasa kwa uelewa wangu mdogo, kinachokwenda kuwasilishwa kesho na mh. Andrew Chenge ni BATILI ,wenye uelewa na umakini mkubwa zaidi yangu naomba mawazo yenu[/QUOTE

sitta ni janga la kitaifa.mwisho wao unahesabika
 
Mahakama haijasema wala kuthibitisha ila imeambiwa na mawakili wa mshitaki wakati anaieleza mahakama hoja zake za kufungua kesi ya kupinga BMLK. Ieleweke kwamba kesi bado inasikilizwa na uamuzi bado kutolewa. Bila shaka hukuelewa ulichosikiliza ITV.

Ndo maana nikaomba wenye uelewa kuliko mm mnisaidie, kwa hiyo tiririka kaka, nadhan nimetoa uwanja mapema, ASANTE
 
Mahakama haijasema wala kuthibitisha ila imeambiwa na mawakili wa mshitaki wakati anaieleza mahakama hoja zake za kufungua kesi ya kupinga BMLK. Ieleweke kwamba kesi bado inasikilizwa na uamuzi bado kutolewa. Bila shaka hukuelewa ulichosikiliza ITV.
Watu wengine wanapenda sana kupotosha mambo mkuu, wapotezee tu!
 
Mahakama haijasema wala kuthibitisha ila imeambiwa na mawakili wa mshitaki wakati anaieleza mahakama hoja zake za kufungua kesi ya kupinga BMLK. Ieleweke kwamba kesi bado inasikilizwa na uamuzi bado kutolewa. Bila shaka hukuelewa ulichosikiliza ITV.

Mkubwa, ulevi wa madaraka ni tatizo sugu sana, jaribuni kubadilika.
 
Back
Top Bottom