Zuwely salufu
Senior Member
- Oct 7, 2012
- 105
- 20
Nimemsikiliza mh. Sitta na nimemwelewa kile alichokimaanisha, kama kweli tunahitaji katiba mpya tulitazame suala hili la kipengele cha serikali tatu itakuwaje kiitifaki? Kwanini tusiwe na rais mmoja wa muungano then znz na tanganyika ikawa na governers instead of rais?

Haya mambo ya mchakato wa katiba kiukweli tusipokuwa makini wanyonge tutakiona cha moto.Nimemsikiliza mh. Sitta na nimemwelewa kile alichokimaanisha, kama kweli tunahitaji katiba mpya tulitazame suala hili la kipengele cha serikali tatu itakuwaje kiitifaki? Kwanini tusiwe na rais mmoja wa muungano then znz na tanganyika ikawa na governers instead of rais?
Wewe mjanjaaa!unajua tatizo tulilo nalo watanzania ni kutotaka kwenda mbali na maamuzi yetu,hatujui tunataka nini kwa ajili ya nini na tutatimizaje utashi wetu.Hivi nyinyi watu mbona Majina majina yamewakaa sana? Raisi ni jina tu hata tunaweza neno Spika wa Bunge tukalibadilisha ana kuita Raisi wa Bunge, au Mkuu wa Chuo tukamuita Raisi wa Chuo!
Cha muhimu SIO mtu anapewa jina gani, bali cha muhimu ni yule mtu ana MADARAKA gani, hilo ndio muhimu, hivyo hao Viongozi wa TZ Bara na Zanzibar wanaweza kuitwa vyovyote vile Raisi, Sultani, Watemi, n.k ila watakuwa na majukumu gani kwa mujibu wa Katiba ndio muhimu!
Hivi nyinyi watu mbona Majina majina yamewakaa sana? Raisi ni jina tu hata tunaweza neno Spika wa Bunge tukalibadilisha ana kuita Raisi wa Bunge, au Mkuu wa Chuo tukamuita Raisi wa Chuo!
Cha muhimu SIO mtu anapewa jina gani, bali cha muhimu ni yule mtu ana MADARAKA gani, hilo ndio muhimu, hivyo hao Viongozi wa TZ Bara na Zanzibar wanaweza kuitwa vyovyote vile Raisi, Sultani, Watemi, n.k ila watakuwa na majukumu gani kwa mujibu wa Katiba ndio muhimu!
kwani Sita ndio kaona hili mkuu? Kwani wewe hujaona serikali tatu sio issue? Yaani marais watatu kimtindo kisa muungano.
Tunahitaji kerikali mbili. Kwani tukikutana EAC hatutakuwa tumeungana? Kisa ni kura za wazanzibar kwenye uchaguzi mkuu tu.
Kwahiyo kiongozi mkuu wa bara na visiwani aitwaje?
Mleta mada ameeeleza sababu ya kutoitwa rais
Wewe unasema rais ni jina tu haya mfano tukuimuita mpumbavu, kichaa, mtumwa na hayo si majina mtu!!!
Mimi nafikiri cheo cha Urais kiwe kimoja tu, huyu kiongozi mkuu wa Zanzibar na Tanganyika waitwe Waziri Mkuu na wachagulie na wananchi