Goodrich
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 2,091
- 1,179
Ni wazi kuwa jambo jema huonekana pale linapoanza.
Samuel Sitta alianza uspika wake kwa kuvunja kanuni za msingi baada kuruhusu Warioba kuhutubia BMK kabla halijazinduliwa.
Hivyo kisheria ni wazi kuwa Warioba hajawahi kulihutubia BMK !!!
...baada uchakachuaji huo na ule uchakachuaji wa kanuni wkt wa kuunda kamati za BMK ni dhahiri kuwa Sitta alianza na mguu wa kushoto !!!