Acha kabisa. Mi nilifika form 2 sijatahiriwa. Siku moja nikakorofisha na mshikaji mmoja. Shule yetu ilikuwa mchanganyiko bana, jamaa akaanza kutangaza kwa sauti ya juu kuliko zote."ndanda ana gov.......". Du yaani nilisikia noma siwezi sahau. Ilikuwa jioni jioni hivi kukiwa kimyaaaaa, mademu wote walisikia. Halafu nilikuwa nshatokea mademu kama 5 na wote wamekubali ila kuwala ilikuwa mtihani, si wataona mkono wa sweta! Mbona nilisingizia kufiwa, nikaenda home kutahiri.