Sitosahau niliponusurika 'kufumuliwa marinda'

Duuh? Hii hatari
 
Hii kali ya kufungia mwaka.

Kumamae wallah
 
Nimepata msamiati mpya, eti nusu Robo Saa

Nadhani ulitaka kumaanisha dakika 7 na sekundi 30
 
 
za mwizi 40
 
Kila mtu anayeleta stori humu ya kuhusisha kugegeda wake za watu ni lazima waume zao wawe watumishi wa Jeshi..what is the point??
 
Hiki kijamaa kinatia mashaka..kilivyoandika hiyo testimony naamini anatamani kufanyiwa hizo mambo..
 
Hahaaaaa kufumaniwa kubaya unaweza kuzima walah, mbona wanawake huwa haaaogopi
 
Hahaaaaa bwabwa lilikuwa lina washwa hivi ni lazima mukomeshane kwa hicho kitendo si bora fine ya hela
 
mkuu pole sana, ila jamaa katili kweli yaani aliandaa mob ya watu wanne kwa ajili ya kukufukunyua wewe tuu...... kweli NKE WA NTU sumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…