Duh kumbe ushawahi kushuhudia haya mambo pole zake mdogo wako ila mila na tamaduni nyingine inabidi zipigwe vitaWanafanya kwa siri na ni mila mkuu ya baadhi ya watu. Kuna wanaume wakware aliwahi fukuzia na mdogo wangu ingekuwa tamaa, ingekula kwetu.
Dah pole sana kiongozi.
Sipati picha maumivu yake. Jamaa alikuwa anamiliki tango au kibamia?
Yani mwanaume nimpende bado aninyanyue kiuchumi halafu nimcheat si nitakua na mapepo sasa. Maana sitakua na sababu ya kuliwa nje na siku akinidaka namcheat atakachonifanya itakua halali yake hata kama hajanioa
Duh kumbe ushawahi kushuhudia haya mambo pole zake mdogo wako ila mila na tamaduni nyingine inabidi zipigwe vita
Hahahaha we jamaa tulia. Nataka nijue kama jamaa alitumia KY au alisokomeza kavukavu
Wana kodigi mijemba hyo ka minne na bastola unashikiwa kichwani sasa hapo utafanyaje na umefumaniwa
Akikujibu usisahau kunitagHalafu wakamuacha au ikawaje hahaaa
Mdogo wa wife kiafrikaafrika ni halali yangu kabisakabisa...Sio mila tu Kuna wanaume wamezidi umalaya had mdogo mtu kah, hyo si zaidi ya pepo. Hafu leo huwa anaona aibu. Wanaume wa ki Africa wakipata hela ni wachafuzi
Mimi jaman niwe mkwel kabisa, miaka kama mitatu nyuma niliwah kukutana na malaya fulan hv kwenye fiesta huku Tanga. Ni kweli nilimsugua KITANGA mpaka akapagawa. Ila sasa yule bint hakuwa mwenyeji wa Tanga mjini bali yeye alitokea sehemu inaitwa Maramba kwa alikuja tu ajili ya Fiesta. Bas kidume nikawa nina mazoea ya kumfuata huko Maramba nakula mzigo nasepa. Cku 1 nikaenda tena na mwenzangu 1, tulikuwa na pikipiki yy kaniacha nje mie nikazama ndani kujipigia. Mara nikasikia makelele funguaaa funguaaa cjakaa sawa mlango ukavunjwa jamaa 5 wakaingia ndani. Wakaniamuru nivue nguo zangu maana nilishanza kuvaa baada ya kusikia purukushan, wakanilazimisha kulamba koni zao mbele ya yule malaya wa Fiesta dah!! Nikajarib kugoma huku napiga makele ili nipate msaa lakin nilikutana na kipigo cha mbwa khokhoh. Bas tena nikainamishwa nikatiwa mashne ( inauma sana ), ila jamaa mungu anamuona yaan mashine yote ile unamtandika nayo mtt wa watu? Mungu si Athuman jmn,huwez amin walikuja wananeshi fasta jamaa hata hajakojoa ndo ikawa nusura yangu. Ndo nilipogundua kua wanajeshi ni watu wazur na wenye huruma. Ile mibaba ingenitoa roho. Bas nikapelekw polis,nao wakaniletea dactar anipime ili kama nikithibitika jamaa wafunguliwe kesi lkn ikanibid mm na wafirani tushirikiane kumhonga daktari kwa manufaa yetu. Kwangu ni kuficha aibu wakati kwao ni kukwepa kifungo
Ww ni mwarabu nin maana ndio wenye tabia hizoSio mila tu Kuna wanaume wamezidi umalaya had mdogo mtu kah, hyo si zaidi ya pepo. Hafu leo huwa anaona aibu. Wanaume wa ki Africa wakipata hela ni wachafuzi
Dah as longa as hakuna alipomention walimpaka mafuta obvious walimtafuna kavuHahahaha we jamaa tulia. Nataka nijue kama jamaa alitumia KY au alisokomeza kavukavu
Siku zote ukiwa na mwanamke hotel mlango ukigongwa usifungue,ilinitokea mwaka juzi nlichofanya waligongana wenyewe kwa wenyewe.kulipokucha nimeenda kufungua nikakuta damu so sikuelewa ni wezi au walikua na shida na huyo bidada
Mimi nakubaliana na wewe kote ila tunatofautiana msimamo unapofanyaga hasty generalization tuSio mila tu Kuna wanaume wamezidi umalaya had mdogo mtu kah, hyo si zaidi ya pepo. Hafu leo huwa anaona aibu. Wanaume wa ki Africa wakipata hela ni wachafuzi
Ww ni mwarabu nin maana ndio wenye tabia hizo
Wengi wakishika hela si ndo anatumia hizo kushawishi mkuuMimi nakubaliana na wewe kote ila tunatofautiana msimamo unapofanyaga hasty generalization tu
Halafu wakamuacha au ikawaje hahaaa
Walimshushia kipigo heavy wakamvunja mguu na haja yake
Mdogo wa wife kiafrikaafrika ni halali yangu kabisakabisa...