Sitosahau mkasa huu

ww ulikunywa dawa ya PEP sio ARV

Hizo noma ukinywa lazima uote ndoto kama unafukuzwa na majini mara kufa kufa
 
Mara alikua chuo semester ya kwanza mara kesho yake akaenda kazini sasa tumueleweje
 
Wewe Kwanza huna hiyo Elimu ya vipimo huwezi na Hutakiwi Kusoma majibu after 15 Mnts,sembuse wewe Umesoma baada ya zaid ya 10hrs.hizo dakika 2 mpaka 5 majibu ni sahihi kabisa
 
Mm nashindwa kukuelewa inawezekana mgonjwa wa HIV anaweza kupona kumbe na akawa _ve kabisaaaaa,nieleweshe hapo
 
Mkuu mim nakushauri usikatishe dozi kula na matunda mengi sanaa japokua unasema mara ya pili kipimo kilionyesha huna
 
Muongo bwana!!!🤣🤣🤣🤣 Uko chuo mwaka wa kwanza halafu job night shift?? wee ulisikia waapiiiiii?????
 
Muongo bwana!!!
Uko chuo mwaka wa kwanza halafu job night shift?? wee ulisikia waapiiiiii?????
It's really possible but unfortunately i didn't want to put everything open because of My own reason,,,,,It's the true story!!
 
so design mm ni mtu sana wa watu yani nna ile charming personality so easy sana kutozoeana na mtu yeyote.

Nimeishia hapa kusoma
Nae msomi eti
 
so design mm ni mtu sana wa watu yani nna ile charming personality so easy sana kutozoeana na mtu yeyote.

Nimeishia hapa kusoma
Nae msomi eti
That's writing error bro,,,,ila sio mbaya pia kama utaniambia criteria za mtu msom zinakuaje??
 

Ah alafu jamani mbona watu mnashangaza sana...yaani mnadhani ukiomba ndio mungu atakuepusha na ngoma...hiyo haipogo jameniii.

Mungu alishakupa muongozo wa namna ya kuishi na kulinda uhai wako. Wee ukienda kinyume uwe tayari kupokea matokeo. Ukiomba msamaa utasamehewa ila consequences za decisons zako wee kaa ukijua hilo lako tuu.
 
HUU NI UONGO WA KIWANGO CHA 6G!
KWANZA RAPID TEST IWE BIOLINE AU UNI
GOLD UKISHAPIMA IKALETA RESULT EITHER POSITIVE OR NEGATIVE BAADA YA 30 MINUTES ZILEE RESULT HUBADILIKA NA KUWA NYEUSI YANI HUWEZI ONA KINSTARI TENA WW KESHO YAKE UMEONAJE NEGATIVE NA POSITIVE.
SIJUI UNATAKA KUPOTOSHA ILI IWEJE?
 
Did you confim it or you heard people say!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…