Sitosahau mkasa huu

Duuuuuhhh si hatari hii mzee mwenzangu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ulikuwa sekyuriti gadi nini, mana umetoka kula tunda kimasiara ukaingia lindo


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Asante sana kwa elimu mkuu
 
Sasa Mkuu, unajua vipimo vina mida wake wa kusoma majibu (Interval)...Baada ya hapo majibu yoyote yanakuwa batili (aidha "False Positive).

Sasa nyie mmeshapima, umeenda kazini night, hadi umerudi
unadhani ni muda sahihi wa kuangalia majibu tena?! (Sio muda sahihi)

Muda wa kusoma majibu ni ndani ya Dakika 20....ukizidisha muda majibu sio sahihi. (So, hiyo mistari inachoraga kipimo kikikaa muda mrefu, especially HIV SD BIOLINE).

Take it.
 
Ii story sha wahi kuisoma sehemu tena zamani sana .niikumbushe ulipo i copy basi
 
Hujatueleza maisha yako na mpenzi wako uliyemsaliti yalikuaje huku ukijua fika umeyakanyaga?
 
Majibu ya mwisho hopefully yaliwafanya mjihisi mmezaliwa upya.
 
Nimesoma hii huku natetemeka mimi daah!
 
Nina comments mbili tu
1.Ngono baina na mwanamke aliyeadhirika na mwanamme ambaye hajaadhirika na aliyetahiriwa. Kama kuna lubrication ya kutosha (foreplay) na hamna kutumia nguvu kusababisha kuchubuka, then chances ya mwanamme kuupata ugonjwa ni chini ya 1%. The other way round kwa mwanamke hiyo % itakuwa juu kwa sababu mwanamke hupokea fluids.
1. Kwa wale wanaosema mara PEP mara ARV. PEP ni jina tu la hiyo process ya post exposure prophylaxis na wala hakuna dawa ziitwazo PEP. Ukihisi umeambukizwa na uende hospitalini within 72 hours, utapewa tu hizo ARVs ili kuzuia maambukizi ila hiyo process inaitwa PEP.
 
mwenyewe nimeona hii ni chai,
 
Dah pole sana mkuu, kuna kitu umejifunza.
 
Mmedanganywa sana tena sana na ukweli ulishajulikana kitambo ila mmegoma kabisa kufungua akili zenu. Mpaka siku huyo huyo Galo awatangazie vinginevyo labda ndo mtaamini😔😔😔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…