Sitosahau maishani sehemu ya mwisho..

Sitosahau maishani sehemu ya mwisho..

Chimbekeha

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2018
Posts
1,193
Reaction score
2,176
Ilipoishia, ni pale ambapo nilikuwa zang juu ya mti takribani lisaa limoja..
Endelea...
Baada ya kugundua kuwa nimeingiliwa na chui, moyo wangu ulilipuka na nikajikuta natetemeka na miguu kushikwa na ganzi,
Chui baada ya kufika pale mtini moja kwa moja alikaa chini katika shina la mti ambao mm nlikuw juu yake,nilijiulza kajuaje mbna anakuja kuket hapa? Kumbe uwezo wa wa akil ulikuw mdgo mno hadi nkasahau kuwa ana uwezo mkubw xana wa kunusa na ndi maana aliamua kukaa pale baada ya kujua kuna mtu maeneo yale..
Nilidumu juu huku nkiwaza hili na lile namna gani nijiokoe ila niliishia kutofanya chochot pale mtini..
Mara akaja mdogo wangu ambae cku hyo yy alinambia mm cji ktk mawindo ww nenda tu.. Akawa amecmama kama mita kama 25 au 30 kutoka pale mtini hali ya kuwa chui yupo chini yey hamuon kutotkn na pori kuwa na nyas ndf na miti miref ila mm ndo nawaona wote mubashara..
mdog wangu akaw ananiita nami naogop kuitika kisa chui alioko chni, kaka mbna huongei nkawa kimya tena, mwishow nkamuelez ukwel kwa kupayuk kutokan na umbal ulokuwepo kuw nimeingiliw na chui yuko pale chn nlipo mm, nenda nymbn kwa kuwa c mbal xna ukatoe taarfa.. Huku chui yupo na ananitazama mm hyo ilikuw kama xa 11 jion jua linaelekea kuzama.
Mdog wangu alifany kama nlivyomuelekez ndo ikawa mwanzo wa kuokokolew kuliw na chui, baada ya mda mfup zilickika kelel nyng za raia ambao wamexambaziana zle taarf zangu, chui alipatw na butwaa baada ya kuona kelel znazd na znamsogelea yey ndipo alipoamua kutoka mtin na kukimbia, raia walifik mtin na silah zote za jad uzijuazo nakunikut mm nimeshangaa kama nashangaa ujenz wa darata la SURRENDER... Ikatolew amri kuwa niteremke haki ya mungu cjui niliteremkaje ila ninachokumbuka ni vidond kama tisa hv tumbon nahis niliserereka badal ya kushuka.
NIMEJIKAZA KUMALIZA UZI HUU HUKU MACHOZI YAKINITOKA KWA MKASA HUU ULONIPAT NKIW NA WASTAN WA MIAKA 10 AU 11
Poleni kwa gazeti ila natumaini mtajifunza kitu katika hili hasa utukufu wa mungu ktk mambo aloyakadiria kufanyika.
 
Chui huwa anapanda mti asingekusubiria chini hapa ni matango pori
 
Chui huwa anapanda mti asingekusubiria chini hapa ni matango pori
Mkuu nko tayar kuapa viapo vya dini zote na hata kiserikali pia.. No jokes in it believe me
 
Uongo huu
Chui binadamu huyo
Uliona wapi chui kashindwa kupanda mtini
 
Uongo huu
Chui binadamu huyo
Uliona wapi chui kashindwa kupanda mtini
Rejea ktk majibu niloyatoa kwa impongo
pia sioni sababu kutetea hoja kama ingekuwa uongo..
mwisho nakubalian na ww kuwa chui hashndw juu hata kdg ila hayo ndo yamenikut mm axa nixemaje nilijeruhiw wakat ckuguswa na kucha yake hata moja.
 
cjaelewa kipi kimekutoa machozi hapo? ww ni wa kiume au wa kike? kama wa kiume kwanni unaogopa chui?
 
cjaelewa kipi kimekutoa machozi hapo? ww ni wa kiume au wa kike? kama wa kiume kwanni unaogopa chui?
C naogopa chui ila kumbukizi ndo znafanya nisawajike wakat naandik uzi
 
Back
Top Bottom