Sitomsahau

Hilijamaa tapeli nimeliambia linipe jina kahuyo ma laya kauchuna mpelekee shigongo upuuzuwako huko siokila mtu unamdanganya tu

uvumilivu umenishinda .kama vipi ni pm .tumalize ubishi
 
Tyta kashamuumbua huyu mzushi na story zake za kutunga...
 
Last edited by a moderator:
uvumilivu umenishinda .kama vipi ni pm .tumalize ubishi

haya sasa dagii, fanyia uchunguzi ulete majibu hapa, mimi mwenyewe naona saundi tuhapa, kama itathibitika vinginevyo nitamtaka radhi jamaa!
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke alikuwa anaishi zamani kempinski apartments? Hadi cctv cameras mlangoni? Shkamoo mchumba
 

DEM yupo sawa kosa ni lako kwa nini hukumuowa
 
Mkuu ulipopoteza fahamu hujamalizia nini kilikutokea maana hizo dash ulizoweka zimenistua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…