Mkali popote
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 633
- 341
Usicheke best, watu wana maumivu yao, huoni mvua hizi! Watawakumbuka mpk wale waliosoma nao nursery
Usicheke best, watu wana maumivu yao, huoni mvua hizi! Watawakumbuka mpk wale waliosoma nao nursery
Ulichota moyo wangu kama kasi ya upepo,ghafla nkakupenda kupindukia,tukawa katika mahusiano, kumbe unaniinjoi, una mtu mwngine wampenda lakini hukuniambia, ukaniacha siku 5 kabla ya Pasaka mwaka 2010.
Hatimaye nikamwaga chozi langu la kwanza juu yako, sikuwa na jinsi maisha yameendelea, Iam happy with my new relationship now with 5 yrs MAY ALMIGHT GOD bless me.
Unacheka mrembo anaumia kupoteza bikira yake na kuolewa na dume mwingine....huna huruma mwanamke wewe....😱
Usicheke best, watu wana maumivu yao, huoni mvua hizi! Watawakumbuka mpk wale waliosoma nao nursery