David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,560
- 8,414
fungu langu la kumi nitaenda kulitoa kwa mayatima na wagonjwa hospital lakini sio kanisaniToa fungu la kumi wewe, utabarikiwa!!!!
Karibu kanisa Katoliki...Mapato na matumizi ya sadaka yako utasomewa..sawa malaika naenda zangu
Huyo atakauwa anasali kwenye makanisa ya mwendo kasi ya Kina Mwingira na the likes...Una Hoja Mleta Mada Ila Jaribu Kuchunguza Kwanza ....... Yani Ufanye Kama Research Katika Kanisa Lako Sadaka Zinaenda Wapi
Maana Taratibu za Makanisa Sadaka Huwa Zinatangazwa Na Matumizi yake sasa Labda Hilo kanisa lenu
Tatizo letu hatupendi kuna maendeleo yamtu na angekuwa co mchungaji mngesema ni freemassonsawa mimi pungu ndugu,endelea kumnufaisha baba mchungaji na familia yake
mkuu nitakuja tu katoliki nimeshajifunzaKaribu kanisa Katoliki...Mapato na matumizi ya sadaka yako utasomewa..
Ukitoa yoa bila kukumbuka,ila ukipewa sasa usiache kudhukuruNatumaini wote ni wazima wa afya tele,dukuduku langu ni kuhusu utoaji sadaka makanisani nilikuwa nafikiri % kubwa ya sadaka tunazo toa zinaenda kusaidia mayatima,wajane na wasiojiweza na kueneza neno la mungu kumbe sivyo ninafikiri.
sadaka zetu sisi manyumbu zinawanufaisha wachungaji uku waumini tukiwa choka mbaya,kitu kilichonisukuma nisitoe sadaka ni baada ya kumuona mchungaji wetu kununua magari 3 kwa mkupuo.
Mwezi 4 alinunua LAND CRUISER V8,mwezi 5 akanunua TOYOTA BREVIS,juzi kati mwezi huu wa saba nimemuona mtoto wa mchangaji yupo ndani ya BMW mpyaaa.
Nimejiuliza sana huyu mchungaji amepata wapi pesa ya kununua magari yote kwa mkupuo hivi?? jibu nililopata ni SADAKA zetu ndizo zinazomfanya mchungaji atanue anavyopenda,waumini masikini choka mbaya kumbe tunamfaidisha mchungaji na familia yake.
kuanzia leo sitoi tena sadaka wa mchango wowote ule!!! ni heri ni dundulize hela mwisho wa siku nikawasaidie yatima na wagonjwa mahospitalini kuliko kuzidi kuwanufaisha wachungaji.
Asanteni nawatikia EID njema
"Sadaka unatoa kanisani maskini anakufa mtaa/ huo ni unafki wa kidini na siyo imani kabisaa/" ..Motra the futureNatumaini wote ni wazima wa afya tele,dukuduku langu ni kuhusu utoaji sadaka makanisani nilikuwa nafikiri % kubwa ya sadaka tunazo toa zinaenda kusaidia mayatima,wajane na wasiojiweza na kueneza neno la mungu kumbe sivyo ninafikiri.