mo effect
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 567
- 637
Habari wakuu,
Hili chama halitakaa libadilike miaka nenda rudi, hawana uwelewa hata kidogo oyeeeeee....tu ndio imewakaa kichwani, likija hili wanashangilia likirudi hivi wanashangalia.. mfano hai kwenye hili sakata la madini juzi mkuu wao Maguguli akipokea ripoti akasema mikataba yote ya madini ipelekwe bungeni ipitiwe upya hata siku mbili hazijaisha akabadili gia maprofesa kwa maprofesa watakaa wazungumze waelewane...
Sasa hayo maridhiano yatafanyika kivipi..? kama mkataba tu ni ovyo, kampuni halijasajiliwa,
Poor ccm