Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 Dec 18, 2016 #1 Site ya Kujenga Mnara wa simu(available for LEASE) Iko na Grid Kubwa ya Umeme(High T. Power) Pia kuna Transformer papo hapo kwenye Site. Utakuwa umeokoa gharama za kujenga line Kubwa kwa ajili ya Ku-service Mnara. Site iko na Ukubwa wa Sqmtr: 1200 with a title deed. Site iko Ilala Buyuni, Chanika. Rent: Maelewano. Picha zinapatikana kwa Whatsapp. Karibuni.
Site ya Kujenga Mnara wa simu(available for LEASE) Iko na Grid Kubwa ya Umeme(High T. Power) Pia kuna Transformer papo hapo kwenye Site. Utakuwa umeokoa gharama za kujenga line Kubwa kwa ajili ya Ku-service Mnara. Site iko na Ukubwa wa Sqmtr: 1200 with a title deed. Site iko Ilala Buyuni, Chanika. Rent: Maelewano. Picha zinapatikana kwa Whatsapp. Karibuni.
Kazwala mkuu JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,034 Reaction score 2,250 Dec 18, 2016 #2 Tunakoelekea tutauza mpaka damu
Gaspare Mbile JF-Expert Member Joined Aug 30, 2016 Posts 1,567 Reaction score 1,605 Dec 18, 2016 #3 Siku hizi watu wanapitisha ardhini mikonga.
R RR JF-Expert Member Joined Mar 17, 2007 Posts 6,976 Reaction score 2,044 Dec 18, 2016 #4 Gaspare Mbile said: Siku hizi watu wanapitisha ardhini mikonga. Click to expand... Kuna minara ya ardhini?
Gaspare Mbile said: Siku hizi watu wanapitisha ardhini mikonga. Click to expand... Kuna minara ya ardhini?
Ndebile JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 8,246 Reaction score 12,789 Dec 18, 2016 #5 Hili linawezankuwa tangazo la biashara la kuvunja rekodi ya 2016,