Site ya Kujenga Mnara wa simu Inapatikana(KODISHWA). Iko na Grid Kubwa ya Umeme(High T. Power)
Pia kuna Transformer papo hapo kwenye Site.
Utakuwa umeokoa gharama za kujenga line Kubwa kwa ajili ya Ku-service Mnara.
Site iko na Ukubwa wa Sqmtr: 1200.
Site iko Ilala Buyuni, Chanika.
Kwa Maelezo zaidi, naomba tuwasiliane PM