Mahmood JF-Expert Member Joined Feb 9, 2008 Posts 7,908 Reaction score 2,480 Oct 27, 2010 #1 Ngugu wapendwa napenda kuwajulisha kuhusu site hii mpya inayoitwa mechizaleo.tk katika site hii kuna mechi zote zitakazo chezwa leo, time ya mechi hizo na TV itakayo toa mechi hizo. Kila siku inakuwa updated.
Ngugu wapendwa napenda kuwajulisha kuhusu site hii mpya inayoitwa mechizaleo.tk katika site hii kuna mechi zote zitakazo chezwa leo, time ya mechi hizo na TV itakayo toa mechi hizo. Kila siku inakuwa updated.
Mahmood JF-Expert Member Joined Feb 9, 2008 Posts 7,908 Reaction score 2,480 Oct 28, 2010 Thread starter #2 Asante ndugu Igunga kwa site hiyo nzuri sana.
NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 1,180 Reaction score 598 Oct 28, 2010 #3 Igunga said: Ngugu wapendwa napenda kuwajulisha kuhusu site hii mpya inayoitwa mechizaleo.tk katika site hii kuna mechi zote zitakazo chezwa leo, time ya mechi hizo na TV itakayo toa mechi hizo. Kila siku inakuwa updated. Click to expand... Mkuu hii safi sana.
Igunga said: Ngugu wapendwa napenda kuwajulisha kuhusu site hii mpya inayoitwa mechizaleo.tk katika site hii kuna mechi zote zitakazo chezwa leo, time ya mechi hizo na TV itakayo toa mechi hizo. Kila siku inakuwa updated. Click to expand... Mkuu hii safi sana.
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,473 Reaction score 757 Oct 28, 2010 #4 Igunga said: Ngugu wapendwa napenda kuwajulisha kuhusu site hii mpya inayoitwa mechizaleo.tk katika site hii kuna mechi zote zitakazo chezwa leo, time ya mechi hizo na TV itakayo toa mechi hizo. Kila siku inakuwa updated. Click to expand... Hii site iko siku nyingi kaka inaitwa goalzz.com mie huwa naitumia sana kucheki matokeo umetengeneza domain name na kudirect huko nini?
Igunga said: Ngugu wapendwa napenda kuwajulisha kuhusu site hii mpya inayoitwa mechizaleo.tk katika site hii kuna mechi zote zitakazo chezwa leo, time ya mechi hizo na TV itakayo toa mechi hizo. Kila siku inakuwa updated. Click to expand... Hii site iko siku nyingi kaka inaitwa goalzz.com mie huwa naitumia sana kucheki matokeo umetengeneza domain name na kudirect huko nini?
Kunta Kinte JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 3,690 Reaction score 1,293 Oct 28, 2010 #5 NG'OTIMBEBEDZU said: Mkuu hii safi sana. Click to expand... Do the needful basi, mgongee ka senky
Mahmood JF-Expert Member Joined Feb 9, 2008 Posts 7,908 Reaction score 2,480 Oct 31, 2010 Thread starter #6 Asanteni sana ndugu zangu kwa maoni yenu.
Mahmood JF-Expert Member Joined Feb 9, 2008 Posts 7,908 Reaction score 2,480 Nov 1, 2010 Thread starter #7 Nimeipenda sana site hii hata TV itakayo toa mechi hizo inaonyesha na time ya mechi pia.
Kweli JF-Expert Member Joined Jul 14, 2007 Posts 1,152 Reaction score 305 Nov 1, 2010 #8 Site nzuri ila mbona mechi ya leo baina ya Blackpool v W.Brom siioni? Mimi natumia hii: Live Football on TV - Sport on Television - Live Football on TV
Site nzuri ila mbona mechi ya leo baina ya Blackpool v W.Brom siioni? Mimi natumia hii: Live Football on TV - Sport on Television - Live Football on TV