Sitashiriki maandamano CHADEMA

wewe naamini kabisa huwezi kuwa mhaya.mhaya hana usaliti kwa wenzake na pia anajuwa nini anaongea mbele ya jumuhia.katelwe enkuba.
 
wewe naamini kabisa huwezi kuwa mhaya.mhaya hana usaliti kwa wenzake na pia anajuwa nini anaongea mbele ya jumuhia.katelwe enkuba.

Huyo ndo mhaya original... anafikiri kabla ya kutenda. Hakuna mhaya mwenye akili mbovu kama wale mapimbi wa arachuga na mererani muda wote viroba na bange.... msukule mkubwa weye
 
ivi huyu bwana ludo. sini [act] au kule kama katibu wao alivyosema ruksa kuwa na kadi 2?
 
Mimi ninatafuta namba yako ya simu ya mkononi maana nakudai na deni limekuwa kubwa sana kwasababu ya riba.
 
Huyo ndo mhaya original... anafikiri kabla ya kutenda. Hakuna mhaya mwenye akili mbovu kama wale mapimbi wa arachuga na mererani muda wote viroba na bange.... msukule mkubwa weye

ghorofa yako imeezekwa kwa makuti au nyasi.poleee
 
Hii nchi kwann hairuhusu maandamano kama watu hawafanyi fujo? Badala ya kulinda raia wao wanapiga au katiba ya nchi hii haijataja maandamano kama ni haki ya watu?
 
wazimu wako mbaya sana. we ni msukule wa mtu aseee
 
Ulikula malio mabichi nini...mbona akili ndogo hivi......
 
Omuregi ni jnatu uejipachika au ni t wa huko kanda ya ziwa? Watu wa huo hwako na akili kaa hizi
Yego wasu, ebhu mbwira ko abhanu whe ndeyo bhali kutiki murekhi awe!! Sawa mkuu ebu nieleze basi jinsi akili zetu zilivyo ili tujipe ufahamu zaidi. Awe mkerebhe awe, ai ka go au uli mjita mwana wasu!! Aika mwana wa mai
 
Unaotaka wasiandamwe ndio hao wanaofanya unequal treatment! Any way mimi sio mwanasiasa, nidokeze scientific procedure ya kufanya ili maoni ya katiba ya wananchi yaheshimiwe mbali na maandamano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…